Afisa Mkuu wa ewura analipwa sh ngapi Mkuu?Kwa vyeo vya maafisa, wanalingana na hizo taasisi unazosema. Kwa maafisa wakuu, hata hizo taasisi ulizotaja hazioni ndani.
Hata Mimi nimeona muamala wa 5mHatimae dakika za jioni kabisa, CRDB oyee
Acha utani wewe 🤣Kwa vyeo vya maafisa, wanalingana na hizo taasisi unazosema. Kwa maafisa wakuu, hata hizo taasisi ulizotaja hazioni ndani.
Mwongo huyo ...Wanajeshi wana advntage ya mikopo tu na hizo posho zao ila hawa darasa la saba hawafiki 1.5. Mil.Afisa Mkuu wa ewura analipwa sh ngapi Mkuu?
Kwenye utumishi wa umma mtu akifikia cheo cha afisa mkuu, hao ndio mameneja eg mameneja wa mikoa wa tra wengi ni principal officers kicheo,Acha utani wewe 🤣
Kwenye hizo taasisi zilizotajwa kuna moja wana posho ya extra duty ya 1.5m, communication allowance, house allowance, transport allowance, na salary ya 3m kwa ofisa wa kawaida yaani II, ukifanya total wanazopata ni 5m+Mwongo huyo ...Wanajeshi wana advntage ya mikopo tu na hizo posho zao ila hawa darasa la saba hawafiki 1.5. Mil.
Nakuambia rafiki yangu alikuwa mwanajeshi by 2019 aliniambia anachukua 1.5 kiwango cha afisa ni mtu mkubwa ,japo kuna pesa nyingine alikuwa anapewa ...Yeye ni mtu mikopo tu ,hawa darasa la saba wengi laki 8-9 ...Hapo ...Taasisi anayofanya msela mwingine mwaka 2019 ilikuwa entry level ni 2.5 mil ...Sasa compare hapo .Kwenye utumishi wa umma mtu akifikia cheo cha afisa mkuu, hao ndio mameneja eg mameneja wa mikoa wa tra wengi ni principal officers kicheo,
Ni Sawa kuwatangulizia wala hakuna kosa,Na haikuanza awamu hii.Jeshi ni taasisi ambayo inaogopeka pekee na kizimkazi.maana wale wakiamua kukinukisha dakika mbili anatolewa hao magogoni.kawapa mapema ili kuwalainisha
Huyo jamaa mbishi ,wanajeshi hawana cha maana ilikuwa na dili ..Maslahi yao yalianza wakati wa kikwete ...Pale TCRA mtu anakula 4.5mil ana per diem ya 250k na safari za kutosha hata afisa mkubwa wa jeshi yule anaekaa karibu na raisi hafiki kama anabisha alete hapa ...Mazingira safi ,mwanajeshi anaenda kozi ya miezi 4 baada ya miaka 2.Kwenye hizo taasisi zilizotajwa kuna moja wana posho ya extra duty ya 1.5m, communication allowance, house allowance, transport allowance, na salary ya 3m kwa ofisa wa kawaida yaani II, ukifanya total wanazopata ni 5m+
Si kweli.Hatimae dakika za jioni kabisa, CRDB oyee
Hizi hela kwa traffiki ni ndogo sana, hawategemei mshahara wakeNakuambia rafiki yangu alikuwa mwanajeshi by 2019 aliniambia anachukua 1.5 kiwango cha afisa ni mtu mkubwa ,japo kuna pesa nyingine alikuwa anapewa ...Yeye ni mtu mikopo tu ,hawa darasa la saba wengi laki 8-9 ...Hapo ...Taasisi anayofanya msela mwingine mwaka 2019 ilikuwa entry level ni 2.5 mil ...Sasa compare hapo .
Tcra wanalipa 4.5m duhHuyo jamaa mbishi ,wanajeshi hawana cha maana ilikuwa na dili ..Maslahi yao yalianza wakati wa kikwete ...Pale TCRA mtu anakula 4.5mil ana per diem ya 250k na safari za kutosha hata afisa mkubwa wa jeshi yule anaekaa karibu na raisi hafiki kama anabisha alete hapa ...Mazingira safi ,mwanajeshi anaenda kozi ya miezi 4 baada ya miaka 2.
Tcra wanalipa 4.5m duh
Acha upumbavu wakoNi kweli tena ukizingatia Wakati huu wa sikukuu inaleta ukakasi sana, Hili swala lilitakiwa lifanyiwe careful consideration kabla ya Kuamua Kuwalipa italeta Mingongono ambayo haina afya kabisa ukizingatia mtawala ni wa Upande fulani wa dini
Nilichogundua ww hauna uelewa na maswala ya majeshi yote ya ulinzi na usalama kuhusu malipo yao na ndio maana mpaka ADC unasema Afisa mkubwa wa jeshi ngoja tuendelee kukusikiliza na kukupuuza tu.Huyo jamaa mbishi ,wanajeshi hawana cha maana ilikuwa na dili ..Maslahi yao yalianza wakati wa kikwete ...Pale TCRA mtu anakula 4.5mil ana per diem ya 250k na safari za kutosha hata afisa mkubwa wa jeshi yule anaekaa karibu na raisi hafiki kama anabisha alete hapa ...Mazingira safi ,mwanajeshi anaenda kozi ya miezi 4 baada ya miaka 2.
Ni bora ungetaka ufafanuzi kwanza kuliko kukurupuka ...Kuna wanajeshi wa sehemu tofauti ,wapo wenye kada zao kama maburani ,wauguzi , engineer, karibia kada zote mpaka maderevaNilichogundua ww hauna uelewa na maswala ya majeshi yote ya ulinzi na usalama kuhusu malipo yao na ndio maana mpaka ADC unasema Afisa mkubwa wa jeshi ngoja tuendelee kukusikiliza na kukupuuza tu.
Ok Congrats.Case closedNi bora ungetaka ufafanuzi kwanza kuliko kukurupuka ...Kuna wanajeshi wa sehemu tofauti ,wapo wenye kada zao kama maburani ,wauguzi , engineer, karibia kada zote mpaka madereva
Sasa kama una uhakika ,niambie wan maslahi yapi ya kushinda zile taasisi kubwa ,labda wapige mshindo wa kwenda kwenye vita ila taasisi kubwa ni level nyingine wewe ...Ili uwe maslahi nakubwa jeshini lazima uwe umesoma sana ila elimu ile ile ukiwa sehemu nyingine unapata zaidi ya jeshini ...Jeshini bado mzee ni kasumba za kuongelea huku ,ninaishi na wanajeshi hawa wa ngazi ya degree wengi tu pale kange.
Hahaha! Uongo mtupu eti Askari wa vyeo vya Kati, vyeo vya Kati kama vipi??Bro naishi na luteni ni jamaa yangu hapa kwetu , kama mimi mwongo nakuambia posho anayolipwa afisa wa taasisi kamq LATRA basi huyo jamaa hafiki mshahara wake wa mwezi ... wanajeshi wana uzuri kwenye mikopo ,riba zao ,upataji wa bidhaa jeshini safi ....Ila ni wa kawaida unakuta ,afisa tu wa kawaida taasisi fulani ana pesa ya mawasiliano laki 2 ,nyumba laki 6 ,risk allowance lako 5 ,meal laki 5 , festival allowance kama kipind hiki cha sikukuu inafika mpaka laki 6..Utamwambia nn ...Per diem zimebadlishwa wengi wanacheza 250k per day , Utamwambia nn ?
View attachment 3310243
Uongo mtupu! Eti Askari mwenye uzoefu na vyeo vya Kati analipwa 850k? Unavijua vyeo vya Kati wewe au unasema tu.Bro naishi na luteni ni jamaa yangu hapa kwetu , kama mimi mwongo nakuambia posho anayolipwa afisa wa taasisi kamq LATRA basi huyo jamaa hafiki mshahara wake wa mwezi ... wanajeshi wana uzuri kwenye mikopo ,riba zao ,upataji wa bidhaa jeshini safi ....Ila ni wa kawaida unakuta ,afisa tu wa kawaida taasisi fulani ana pesa ya mawasiliano laki 2 ,nyumba laki 6 ,risk allowance lako 5 ,meal laki 5 , festival allowance kama kipind hiki cha sikukuu inafika mpaka laki 6..Utamwambia nn ...Per diem zimebadlishwa wengi wanacheza 250k per day , Utamwambia nn ?
View attachment 3310243