Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado.

Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa

Wanapaswa kutambua wanajeshi tunaishi nao mitaani kwahiyo hakuna siri.

Tunajua Jeshi ni kada muhimu lakini bado sio sahihi kufanya hivi kwqni haileti picha nzuri kwa umma.

Washauri muwe msaada kwa viongozi na si vinginenyo.
Jeshi lenyewe limejaa mazwazwa wengi wao wakipewa hizo pesa ni kuzinywea pombe na kushindana na raia kuchukua wanawake za watu na mabinti mitaani.
 
Hizi ni mada za kichochezi tu. Wenye ajira zao wanajielewa.
 
Mzee angalau wanapokea shiling ngapi sio wamelipwa lin.. Mzunguko ni ule ule ,so haina tija mtu mwingine malipo yao hao ni mara mbili yake ni kawaida ...Hawana maajabu ,naishi nao huku sana ni majirani zangu ,ile leverage yao ya mikopo ila kwingine kawaida sana..
Pesa zao wanalipwa nyingi mno kuliko wasomi wa vyuo vikuu
 
Jeshi ni taasisi ambayo inaogopeka pekee na kizimkazi.maana wale wakiamua kukinukisha dakika mbili anatolewa hao magogoni.kawapa mapema ili kuwalainisha
 
Tunaishi na wanajeshi ,wanalipwa kawaida bhana sio kama TBS ,TPA ,EWURA ndicho namaanisha.
Kwa vyeo vya maafisa, wanalingana na hizo taasisi unazosema. Kwa maafisa wakuu, hata hizo taasisi ulizotaja hazioni ndani.
 
Back
Top Bottom