Weka mchanganuo huo ni mshahara au ni pamoja na posho?Kuna taasisi inayo mlipa mtu wa form four 1.5m
Weka mchanganuo huo ni mshahara au ni pamoja na posho?Kuna taasisi inayo mlipa mtu wa form four 1.5m
Ukisema afisa mkuu kwenye utumishi wa umma maana yake ni Principal OfficerMimi namaanisha afisa mkuu kwenye jeshi
Kuna pesa ya vinywaji kumbeAnaongelea pesa ya vinywaji kila baada ya miez 3 😂
Anafikiria afisa mkuu ni kukurupuka ...Jeshini labda ukae sana miaka 10 na kuendelea ...Hawa taasisi nyeti miaka 4 kashatoka kitambi na mkoko ... Tatizo protocol za Jeshini si rahisi kuzivunja na zipo miaka nenda miaka rudi ... Taasisi unaweza kusikia kesho wameongeza mishahara kimya kimya ...Dili zipo nyingi ila jeshini wako strictly kwenye protocal zao.Ukisema afisa mkuu kwenye utumishi wa umma maana yake ni Principal Officer
Posho zinaingia pamoja na mshahara.Hizo pesa si mtaje ... Unaweza kuwa na utitiri ya posho kumbe ni per diem ya mtu kwa siku..🤣🤣
Polisi nakubali sna vile viatu vyao..Hao jamaa kumkuta mwembamba ni bahati sana .Mwachiluwi wewe ulishasema ni polisi, vipi nyie mshapokea?
Toa ushahidi huoMwachiluwi wewe ulishasema ni polisi, vipi nyie mshapokea?
Acha basiPolisi nakubali sna vile viatu vyao..Hao jamaa kumkuta mwembamba ni bahati sana .
Kwenye taasisi kuna pesa.Taja mishahara na posh nikuoneshe mshahara wa mtu anayeanza kwenye Taasisi.
Pesa zipo kweliKwenye taasisi kuna pesa.
Ngoja nilete threadToa ushahidi huo
Kaulize dogo hujawahi sikia resheni?Acha uongo dogo
Sawa BrigediaKaulize dogo hujawahi sikia resheni?
😳😳😳Sawa Brigedia
Sawa nasubirNgoja nilete thread
Shikamoo brigedia Azizat
Polisi akiwa kwenye kitengo cha kuzuia madawa ya kulevya asipo tajirika bas hana akiliNgoja nilete thread