- Afisa wa Tra pia ni mtu nyeti kwa sababu anakusanya mabilioni ya kodi ambayo yanaenda kuwalipa hadi huko kwenu, umeona tunavyotegemeana?
- Afisa wa tra kwanza ndio mwenye kuweza ku-catch attention nenda sehemu yoyote ile jitambulishe kama ofisa wa tra uone Kila mtu mtazamo wake utakuwa ni ana pesa,status na heshima.
-mtihani wa kumpata ofisa wa tra ni mgumu zaidi maradufu compared to ofisa wa kwenu, ukiona mtu kapata kazi tra kweli huyo kichwani yuko bright compared to huko kwenu
- Huko kupanda bodaboda, public transport ni Akiwa kwenye sare au Akiwa amevaa kiraia,
- kwani ofisa wa tra na ofisa wa jeshi nani mwenye hadhi? Ukienda kwa mtoto mdogo ukimuuliza kuhusu tra image yake ni money, pesa,pesa.
- Maofisa wa tra Wana privilege ya kikodi ya kuagiza magari kwa nafuu na ndio maana ni rahisi kukuta ofisa wa tra kununua range Rover,lakini sijawahi kuona junior officer anaendesha range Rover.
- tukija kwenye fursa za pesa wapi Kuna fursa za pesa? Ofisa yupi ana fursa za pesa?