Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

- wanaongezewa hizo laki3 ni wenye degree za three years, medical officers wanaongezewa nyingi kwa sababu ya salary scale yao,
Si ndomaana nakuuliza uliwahi kusoma huo waraka? Medical officer akipanda cheo, inayoongezeka ni laki tatu kama na 30 hivi, nimeusoma huo waraka juzi kijana, na ipo step ambayo pesa inayoongezeka ni 250K, na hapo ni kwenye basic salary, zikikatwa inayoongezeka inakuwa ni ndogo kuliko hizo mlizotaja.
 
Kama huko waraka unao uweke hapa tuuone,au source tuuone.
 
  • Mwalimu ndiye amekufanya ujue kuandika na kusoma,
  • Taaluma ya Ualimu ndio Taaluma inayotengeneza Taaluma nyingine, hata hao la7 unaowasifu wamefundishwa na Mwalimu.
-
Ni kweli ila taifa limewawekea hela ndogo mno, nchi zingine wanalipwa nyingi. Pia naona ili taaluma ipande, walimu wanatakiwa wawe ni watu waliopata division one kali advance, ndo waende chuo kikuu, wachukue waliofaulu saba kama wanavyochukua madaktari, kisha wapandishe mishahara yao, ndo ualimu utaheshimika, sasa unachukua mtu aliyepata division four ya form six unafikiri wataheshimika vipi, yaani waliofeli ndo waje kufundisha wanafunzi?
 
Mimi nalinganisha na walipoajiriwa wengi achana na JKCI, na hizo taasisi unazozitaja, kuna ongezeko la laki tano juu ya walio tamisemi ktk mishahara.
  • kama umenisoma vizuri ni kwamba nimesema kutoka organization moja kwenda nyingine nilitoa clarification ya organization to organization, nimeandika ki-human resource ungekuwa umesoma human resource ungeelewa maana ya organization to organization
  • Ili kuondoa utata itabidi tujue salary scale zao, ndio tutajua salary scale ipi ni kubwa,kwa sababu Kuna baadhi ya organization unakuta salary scale ni 2m lakini posho zinazidi salary.
-Unaposema hata apande vipi hamzidi mwenye nyota? Je akipanda hadi kuwa mkurugenzi wa department, au mkurugenzi wa hospital like jkci, Benjamin, Ocean road,moi,mnh,na Ili kuondoa utata ni vizuri tukataja scale,
- huwezi kusema ataachwa hadi kustaafu hapo ni kwamba ume- assume factors ziko constant, the same organization until retirement.
 
Leteni ukweli
Acha upotoshaji, kwanza specialist analipwa karibia 2.3m, akikatwq inabaki take home ya 1.7m, ambayo Askari ambaye hana V hata moja afu awe na degree, anamzidi mbali, achilia mwenye nyota.
 
Tafuta, siri za serikali siwezi kuanika hapa, waraka umeandikwq kabisa ni siri, ulitolewa na katibu mkuu wa utumishi wa umma na utawala bora, we niulize cheo chochote cha hao watu wa afya au taaluma zingine nikutajie pesa zao.
Kama huko waraka unao uweke hapa tuuone,au source tuuone.
 
Acha upotoshaji, kwanza specialist analipwa karibia 2.3m, akikatwq inabaki take home ya 1.7m, ambayo Askari ambaye hana V hata moja afu awe na degree, anamzidi mbali, achilia mwenye nyota.
Ulianza kusema luteni usu sasa hivi private
Kinachowabeba wanajeshi ni posho tu
 
Ni kweli ila taifa limewawekea hela ndogo mno, nchi zingine wanalipwa nyingi. Pia naona ili taaluma ipande, walimu wanatakiwa wawe ni watu waliopata division one kali advance, ndo waende chuo kikuu, wachukue waliofaulu saba kama wanavyochukua madaktari, kisha wapandishe mishahara yao, ndo ualimu utaheshimika, sasa unachukua mtu aliyepata division four ya form six unafikiri wataheshimika vipi, yaani waliofeli ndo waje kufundisha wanafunzi?
-kuhusu Taaluma ya Ualimu, sio Walimu wote hawajafanya vizuri shule hususan form vi, wapo Walimu wenye degree ambao walipata division one wengi tu.
 
Iwekwe kiwango kuwa bila one ya 3-7, ni marufuku kusomea degree ya ualimu, kisha wawapandishie mishahara yao, uone jinsi taaluma itakavyopanda hapa nchini, tutakuwa na walimu cream tu.
 
Acha upotoshaji, kwanza specialist analipwa karibia 2.3m, akikatwq inabaki take home ya 1.7m, ambayo Askari ambaye hana V hata moja afu awe na degree, anamzidi mbali, achilia mwenye nyota.
-Mshahara wa askari koplo bila posho haufiki hata 1.5m, wewe umejumlisha na posho, weka salary scale hapa tuuone,
-pte ni 1.5+inclusive of posho zote) na kwa vyeo hivyo vya non commissioned officers wanazidiana kidogo kidogo hawaachani sana.
- je specialist Hana hata posho moja? Unajua posho ya specialist ni kubwa
 
Iwekwe kiwango kuwa bila one ya 3-7, ni marufuku kusomea degree ya ualimu, kisha wawapandishie mishahara yao, uone jinsi taaluma itakavyopanda hapa nchini, tutakuwa na walimu cream tu.
- na huko kwenu waweke hiki kigezo
 
-Mshahara wa askari koplo bila posho haufiki hata 1.5m, wewe umejumlisha na posho, weka salary scale hapa tuuone,
-pte ni 1.5+inclusive of posho zote) na kwa vyeo hivyo vya non commissioned officers wanazidiana kidogo kidogo hawaachani sana.
- je specialist Hana hata posho moja? Unajua posho ya specialist ni kubwa
Unaijua posho ya taaluma kwa JW kijana? Scale za JW uteaendelea kuzisikia kwenye bomba tu, posho zz specialist unafikiri hata hizo call wanalipwaga kwa haki, huko tamisenga ndo usiseme, posho zao ni kuvutana sana mashati na siyo nyingi kiasi hicho, lakini bakabaka posho zingine nje ya mshahara zinaingia smoothly bila shida, ni constant.
 
-Achana na posho ya Taaluma taja salary scale tumalize mjadala
-Kama ni posho hata waendesha mashtaka wanalipwa posho ya extraduty 2m, lakini salary take home haifiki laki8, ofisa wa mamlaka ya bima (tira) analipwa posho 2.3m wakati salary take home ni 1.9m,
-Specialist hategemei salary,ukishakuwa bingwa unakuwa na 'Vijiwe ' ambavyo vinawalipa vizuri,achana na mentality ya mshahara,posho (kipato constant)
 
Scales nilishasema hazitajwi, nazungumzia kusema kuwa, mapato mengine nje ya salary ni madogo, unajua call ya medical officer kwa mwezi ni laki moja kwa mwezi licha ya waraka wa kupandisha uliotoka tangu mwaka jana ila watu wanalipwa za zamani na siyo kila mwezi utapewa yote yaani ni kwa manati mno.

Laki moja kwa tamisenga na laki mbili na nusu kwa wizarani, sasa ndo hela gani hizo? Extaduty akipata sana ni 180K mpaka 240K na siyo constant kwamba kila mwezi lazima alipwe, wanapata kwa manati mno.

Lakini kwq baka baka zinakuja smoothly bila shida yoyote, kucheleweshewa ni hatari kwa afya.
 
- kwani Jeshie sio Taaluma?
Nazungumzia taaluma ya kiraia ambayo anayo mtu wa JW, wewe unataka umlingsnishe specialist na JW mwenye form four ni haki hiyo? Linganisha na JW msomi mwenzie, analipwa pesa ya JW na posho ya taaluma yake, analipwa mara mbili mbili.
 
Scales nilishasema hazitajwi, nazungumzia kusema kuwa, mapato mengine nje ya salary ni madogo, unajua call ya medical officer kwa mwezi ni laki moja kwa mwezi licha ya waraka wa kupandisha uliotoka tangu mwaka jana ila watu wanalipwa za zamani na siyo kila mwezi utapewa yote yaani ni kwa manati mno.

Laki moja kwa tamisenga na laki mbili na nusu kwa wizarani, sasa ndo hela gani hizo? Extaduty akipata sana ni 180K mpaka 240K na siyo constant kwamba kila mwezi lazima alipwe, wanapata kwa manati mno.

Lakini kwq baka baka zinakuja smoothly bila shida yoyote, kucheleweshewa ni hatari kwa afya.
- Kama scales hazizajwi hauna base ya kusimamia, itakuwa ni story za Vijiwe vya kahawa tu, na ndio maana hata Tanganian alionekana kakushinda kwa hoja kwa sababu yeye alikuwa analeta hadi salary scale za mashirika ya umma, akakuambia kuwa TCAA salary scale ni 4m, per diem ni 200,000/, pia Wana extraduty 900,000/-, housing 800,000/-
-oncall allowance inalipwa kwa appearance au kwa flat rate?
  • weka huo waraka unaosema hivyo,au source ya hiyo taarifa, kwa sababu hata per diem, extraduty zilivyopanda haikuwa siri ilitangazwa
  • btw Kingine hizo posho unazozifanya siri wala sio pesa nyingi, taasisi per diem ndio Zina weBoost mwenzio anapata safari za siku 20-15 Kila mwenzi ukifanya hesabu hapo utakuta analipwa per diem za 4m, akijumlisha salary, extraduty, housing, transport, anazaidi ya 8m, wakati wewe ukipata safari ya kikazi per diem yako ni 100,000/-
 
Back
Top Bottom