Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Yaani mafanikio yanaonesha kabisa wala hayajifichi ,huyu anafikiria kuna mafanikio ya siri🤣🤣🤣Aweke hat poll hapo kambini kwao ,wachgue Jeshini au TRA.Na hiyo salary, hajaweka extra duty ya 900,000/- na incentive , na malipo mengine