Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Niko hapa usipokimbia labda kama sio mimi.Una haraka sasa twende pole pole huko tutafika acha uogo bwana mdogo
Niko hapa usipokimbia labda kama sio mimi.Una haraka sasa twende pole pole huko tutafika acha uogo bwana mdogo
Mimi usipojibu hoja nakubana upya, bado hujajibu, watunza kumbukumbu, wafagiaji na wafanyakazi wengine wadogo wadogo, wanakuwa na elimu gani hapo TRA? wanakuwa na degree?Wewe nina mushkeri na elimu yako,uache kuongelea certificate uanze kuongelea darasa la saba na form four🤣🤣🤣..Kuna watu wana certificate ambao ni assistants ...Darasa la saba na form four ni unknown professionals hata jeshini wanapata mafunzo kwanza ...
Mimi labda nikupuuze tu maana unapotezea watu muda hujubu unachoulizwa, siyo kukukimbiaNiko hapa usipokimbia labda kama sio mimi.
Sikiliza uambie katika baadhi ya Taasisi hao sio professional ,hawawezi kukaa hata vikao vya kazi ..Wengine wanachukuliwa kutoka kwenye makampuni binafsi kama watunza jengo yaani wafagiaji ...Zipo kampuni za usafi ila zikawa chini ya Taasisi husika ...Kampuni za usafi zipo na tenda zinatangwa ..kama unaweza nioneshe waliptangaza nafasi za wafanya usafi.Mimi usipojibu hoja nakubana upya, bado hujajibu, watunza kumbukumbu, wafagiaji na wafanyakazi wengine wadogo wadogo, wanakuwa na elimu gani hapo TRA? wanakuwa na degree?
Unaruka ruka hata hujui kama kutunza kumbukumbu watu wanasomea ,wwe unafikiria ni darasa la saba tu pale ...Wapokea barua kama masijala (Registry) ni watu wanasomea kabisa acha utani wake ,darasa la saba na form four utawakuta jeshini ila lazima waende kozi za ujuzi fulani kama watu mizima basi hiyo inakuwa ni professional yao ..Mimi labda nikupuuze tu maana unapotezea watu muda hujubu unachoulizwa, siyo kukukimbia
Safi sana, kumbe unajua kujibu vizuri sasa sijui mwanzo ulikupatwa na nini.Sikiliza uambie katika baadhi ya Taasisi hao sio professional ,hawawezi kukaa hata vikao vya kazi ..Wengine wanachukuliwa kutoka kwenye makampuni binafsi kama watunza jengo yaani wafagiaji ...Zipo kampuni za usafi ila zikawa chini ya Taasisi husika ...Kampuni za usafi zipo na tenda zinatangwa ..kama unaweza nioneshe waliptangaza nafasi za wafanya usafi.
Kutunza kumbukumbu kama hujui ni professional ipo kuanzia ngazi ya chetu mpaka degree kama hujui🤣🤣🤣.... Wafanyakazi wa wadogo ni kama usafi wako kwenye bajeti ya usafi wa majengo ya utunzaji wa mazingira ,wapo mpaka wanasimamia Garden kwa nje ,kazi hiz kwa sasa wanatangaza tender na makampuni yapo kabisa yana watu wanafanya usafi ...Kuna watoa huduma hawa hawaeleweki unakuta tu ni mtu mzima ila anaosha vyombo ,anasaidia shughuli hata ukimuuliza kitu anakuelekeza ...Hawa wanapatika katika njia tofauti ila sio kufanyiwa interview na Taasisi ,hawana hata mafunzo.
Kutunza kumbukumbu ni professional kama engineer na watu wanasoma kuanzia certificate na kuendelea.
Of course, zile ni Tender za usafi, huwa zinatangazwa, zipo hadi tender za ku-supply food🍲, nkSikiliza uambie katika baadhi ya Taasisi hao sio professional ,hawawezi kukaa hata vikao vya kazi ..Wengine wanachukuliwa kutoka kwenye makampuni binafsi kama watunza jengo yaani wafagiaji ...Zipo kampuni za usafi ila zikawa chini ya Taasisi husika ...Kampuni za usafi zipo na tenda zinatangwa ..kama unaweza nioneshe waliptangaza nafasi za wafanya usafi.
Kutunza kumbukumbu kama hujui ni professional ipo kuanzia ngazi ya chetu mpaka degree kama hujui🤣🤣🤣.... Wafanyakazi wa wadogo ni kama usafi wako kwenye bajeti ya usafi wa majengo ya utunzaji wa mazingira ,wapo mpaka wanasimamia Garden kwa nje ,kazi hiz kwa sasa wanatangaza tender na makampuni yapo kabisa yana watu wanafanya usafi ...Kuna watoa huduma hawa hawaeleweki unakuta tu ni mtu mzima ila anaosha vyombo ,anasaidia shughuli hata ukimuuliza kitu anakuelekeza ...Hawa wanapatika katika njia tofauti ila sio kufanyiwa interview na Taasisi ,hawana hata mafunzo.
Kutunza kumbukumbu ni professional kama engineer na watu wanasoma kuanzia certificate na kuendelea.
Jomba tunafananisha maafisa wa ngazi ya degree ,mbona unaruka ruka🤣🤣🤣Nimekuambia afisa TRA (Degree) anayeanza na Afisa wa jeshi(Degree) . Wako sawa kimafanikio.Safi sana, kumbe unajua kujibu vizuri sasa sijui mwanzo ulikupatwa na nini.
Kwahiyo mtunza kumbukumbu wa masijala TRA naye mshahara wake unafika hata milioni mbili?
Hajui kaka kuna Nest 🤣🤣 anafikiria walw wafanya usafi wanaokotwa mitaani .Of course, zile ni Tender za usafi, huwa zinatangazwa, zipo hadi tender za ku-supply food🍲, nk
Bado hujajibu hoja nakurudisha pale pale, hao wenye certificate masijala ya TRA, mshahara wao unafika hata milioni mbili? Au exactly inaweza kuwa bei gani? Kama huna majibu sema.Jomba tunafananisha maafisa wa ngazi ya degree ,mbona unaruka ruka🤣🤣🤣Nimekuambia afisa TRA (Degree) anayeanza na Afisa wa jeshi(Degree) . Wako sawa kimafanikio.
Naongelea ngazi ya degree maana cycle yangu hakuna wa form four wala certificate , tunaongelea ''DEGREE''
Kwa hiyo huko kwenu darasa la saba na form four wanalipwa mil 2?Bado hujajibu hoja nakurudisha pale pale, hao wenye certificate masijala ya TRA, mshahara wao unafika hata milioni mbili? Au exactly inaweza kuwa bei gani? Kama huna majibu sema.
Halafu aliyekwambia nataka kulinganisha mtu wa masijala ya TRA na afisa wa jeshi ni nani? Mbona wewe ndk unayeruka ruka kwa kukwepa kujibu maswali na kujitungia maswali au hoja zako?
Jibu hoja kijana acha kukimbia maswali, narudisha swali tena, wanalipwa bei gani hao certificate holder wa TRA?Kwa hiyo huko kwenu darasa la saba na form four wanalipwa mil 2?
Kwani nawe mbona hutaki maafisa kwa maafisa , wewe ni form four?🤣🤣Jibu hoja kijana acha kukimbia maswali, narudisha swali tena, wanalipwa bei gani hao certificate holder wa TRA?
Jibu hoja niliyokuuliza kwanza, huna majibu semaKwani nawe mbona hutaki maafisa kwa maafisa , wewe ni form four?🤣🤣
Mishahara ya TRA fuatulia nyuma imetajwa ,na kwa nn unakataa hao maafisa ..
Certificate ni 1.5m,Jibu hoja kijana acha kukimbia maswali, narudisha swali tena, wanalipwa bei gani hao certificate holder wa TRA?
Kwenye degree nimekupiga kwanza naongoza !Jibu hoja niliyokuuliza kwanza, huna majibu sema
Mwambie atajw degree kwao ,nakunyq hapa mpaka Muheza....Hao wasiokufa maafisa wa degree , ukiachana na wale wakuu basi wote ni kuruta.Certificate ni 1.5m,
Na hiyo salary, hajaweka extra duty ya 900,000/- na incentive , na malipo mengineMwambie atajw degree kwao ,nakunyq hapa mpaka Muheza....Hao wasiokufa maafisa wa degree , ukiachana na wale wakuu basi wote ni kuruta.