Hajui lolote, hata huyo luteni anayemtaja taja utakuta hajui hata anafanaje.Huyo jamaa unabishana nae nini wakati kwenye majeshi ni mtupu kabisa hajui anachokijua sasa hata hapo tu ukimuuliza nini maana ya section hajui achana nae mzee huyo anakupotezea mda!