Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Mwanajeshi siyo Mtumishi wa Umma, na kwanza mwanajeshi haajiriwi Bali anaandikishwa Jeshini...pia halipwi mshahara....Ndio maana hawana Kikokotoo....
Pension wanatolea wapi? Mikopo wanachukulia na nn ?

Hizi ni hoja za kukariri ,achana nazo .

Wabunge ni special kuliko hata wanajeshi ,wenzio hawana makato na bima zao za juu ,kila baada ya miaka mitano wana pesa ndefu.
 
Kwani mzee hapa tumeongea Tamisemi ? Ingekuwa Tamisemi ningekuwa nabishana ujinga kwa sababu mishahara ya Tamisemi iko wazi ,nimekuambia ni kwenye Taasisi na hizi Taasisi zenye mishahara mikubwa mpaka leo ,hiyo TRA haingii hata 7 bora ..Zipo nyingi ...Ila TRA wanakula maisha sana liko wazi.
Sasa kumbe unajua kuwa njaa ipo tamisenga, afu unasema njaa ipo jeshini. TRA ilitoa ajira buku jero, waliokuja kwenye usaili sijui 200000 wale, so unafikiri kupata kazi TRA au taasisi kama hizo ni rahisi?
 
Pension wanatolea wapi? Mikopo wanachukulia na nn ?

Hizi ni hoja za kukariri ,achana nazo .

Wabunge ni special kuliko hata wanajeshi ,wenzio hawana makato na bima zao za juu ,kila baada ya miaka mitano wana pesa ndefu.
Makamanda hawakatwi psssf kama wewe, na pensheni wanalipwa nyingi tu.
 
Yes wabunge wana pesa ndefu kwakweli
 
Unaongelea vyeo baadhi , tunaongelea entry level ,mbona hauna hoja kabisa ? Unaruka ruka kumbe ndio mnavyofundishwa huko ?
 
Yes wabunge wana pesa ndefu kwakweli
Maendeleo yenu ya kudemadema ...Naweza kukutajia Taasisi saba hamkuti watuwa Degree ..Watu wanekaa kimya ...Ndugu yangu kuwa mkweli ,hamna hayo maendeleo labda inawezekana ni nyie binafs ila wanajeshi ukiona ana maendeleo bas ni mtu mkubwa sana huko miaka 40 na kuendelea.
 
Hhahah! Sema we jamaa inaonekana ulikuwa mgumu sana shuleni kuelewa, mimi nimekuja kukurekebisha kuhusu bandiko lako la mchongo kuhusu mishahara ya JW👇
View attachment 3310798
Hili bandiko lako ndo limenifanya nije hapa na hakuna mahala nimesema hao sijui Tra,Tasac na wengineo hawawezi kuwazidi mshahara TPDF na nkasema kwa wanachokipata sio duni kabisa sasa wewe Unilever mambo ya Tra hapa ya nini.

A GENERAL alipwe 3mil?? duh hili si balaa

Haja hapa ni wewe ni MPOTOSHAJI mkubwa kuhusu mishahara ya JW na nimeona hapo juu unasema tui-expose mishahara Yao nasemaje kaingie kwenye hio taasisi na wewe ujue wanalipaje.
Wote ninyi hamjui lolote na huyo aliyeandika mishahara hapo amewapotosha.
 
Maendeleo yenu ya kudemadema ...Naweza kukutajia Taasisi saba hamkuti watuwa Degree ..Watu wanekaa kimya ...Ndugu yangu kuwa mkweli ,hamna hayo maendeleo labda inawezekana ni nyie binafs ila wanajeshi ukiona ana maendeleo bas ni mtu mkubwa sana huko miaka 40 na kuendelea.
Umepotosha screen shot ya mishahara uliyopost siyo ya kweli, haimaanishi kuwa hakuna taasisi zinazolipa sana zaidi ya makamanda, lakini makamanda ni miongoni mwa taasisi zinazolipa vizuri, hata hao marubani, zipo taasisi hasa za kimataifa zinalipa vizuri zaidi yao.
 
Mimi natolea mitano kulinganisha na wafanyakazi walio wengi ambao wapo tamisenga, huko hutaji, umekomaa na taasisi mara entry level, ambapo tulishakwambia hatutaji ukatafute mwenyewe.
 
Umepotosha screen shot ya mishahara uliyopost siyo ya kweli, haimaanishi kuwa hakuna taasisi zinazolipa sana zaidi ya makamanda, lakini makamanda ni miongoni mwa taasisi zinazolipa vizuri, hata hao marubani, zipo taasisi hasa za kimataifa zinalipa vizuri zaidi yao.
Prove sio kweli? Mfano ikindikwa Mil 1.5 + ina maana wanaanzia hapo na kuendelea ,hawawezi kutaja mishahara moja kwa moja ...Iko hivi hata offer letter za Taasisi nyingine wanaweza kukuandika Mfano : Mil 2.3 ila unakuja kuashangaa Mshahara wako unapata 2.4 na baadaye ndani ya muda hata miezi kadhaa unaona umeongezeka hata elfu 60 ,hapo bado uko probation ..Hizi ni siri za kiofisi , ukitaka kujua mtu analipwaje angalia salary slip yke...
 
Kwahiyo jenerali analipwa milioni tatu?
 
Kwahiyo jenerali analipwa milioni tatu?
Imeandikwa + ni kuendelea hata alipwe mil 20 basi ni juu ya hapo... vyeo vya jeshi kuwa General sio mchezo ,Cv yake ni ndefu sana.
 
Kwahiyo milioni tatu na milioni 20 ni vitu sawa duh, data zako ni za zamani sana
 
Kwa hiyo General alianza na ngapi wakati anaajiriwa? From no where uanze kuwa Jenerali!

General ni miongoni kwa maafisa aliyekuwa na uzoefu na vigezo vingine ...Akapata cheo mpaka kufika juu.
 
Hujajibu hoja unaruka ruka tu, nakipinga kuwa mshahara wa jenerali siyo ule ulioutaja, wewe unasema jenerali ni mpaka akae miaka mingi, kwani nani kabisha?
 
Haya nioneshe wapi nimeandika mshahara wa General? Hizi ndiyo logic mnazofundishwa 🤣🤣
 
Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi te wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado.

Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa

Wanapaswa kutambua wanajeshi tunaishi nao mitaani kwahiyo hakuna siri.

Tunajua Jeshi ni kada muhimu lakini bado sio sahihi kufanya hivi kwani haileti picha nzuri kwa umma.

Washauri muwe msaada kwa viongozi na si vinginenyo.
Serikali vyombo vyote vya ulinzi mishahara yao hua haicheleweshwi na haijawahi tokea .hivyo unachoongea /panga wewe haiwezekani
 
Kwahiyo milioni tatu na milioni 20 ni vitu sawa duh, data zako ni za zamani sana
Mwaka 2014 Mkurugenzi wa nssf alikuwa analipwa 18m, per month
Watumishi wa umma wanaoongoza kwa salary scales kubwa ni Gavana wa BoT, Kamishna mkuu tra, Mkurugenzi wa bandari, mkurugenzi tanapa, Kamishna wa forodha na Ushuru wa bidhaa tra, mkurugenzi tcaa, mkurugenzi latra, mkurugenzi ewura, mkurugenzi tcra, mkurugenzi Ngorongoro, mkurugenzi tasac
 
So walikuwa wanalipwa hela nyingi kuliko Magufuli ambaye alikuwa analipwa milioni 9?
 
Back
Top Bottom