Kumbe ulikosa maksi za kusomea udaktari, pole.-kwa hiyo kwa akili yako ndogo unadhani Mimi ni daktari si ndio?
- wewe ni Rubani?
- Unajua maana ya division of labour?
- Unajua hili jina langu ndio Linasadifu taaluma yangu? Land surveyor
Kumbe ulikosa maksi za kusomea udaktari, pole.-kwa hiyo kwa akili yako ndogo unadhani Mimi ni daktari si ndio?
- wewe ni Rubani?
- Unajua maana ya division of labour?
- Unajua hili jina langu ndio Linasadifu taaluma yangu? Land surveyor
Weww taja acheni kutisha watu ,hamna maendeleo 🤣🤣Mbona umekomaa nitaje mzee hebu taja na wewe wa kwako basi hapo halmashauri hahaha kama ni raha
Umeishia la ngapi?Umuhimu unaozungumzia ni kwenye kazi, mimi nazungumzia kwenye pesa kijana wacha kuchanganya mambo, kwanza kwa taarifa yako, wenye pesa walio wengi hawajaajiriwa, tena wengine hawana taaluma, miongoni mwa mwajiriwa anayelipwa vizuri ni rubani, wengine walio wengi ni njaa njaa tu kama wewe.
Wewe umesomea nnKumbe ulikosa maksi za kusomea udaktari, pole.
Hizo pesa tajeni ...Mikwara ming na maendeleo hayaonekani mpakq zile pikipipi zimekuwa kama sare zenu.Sasa na huyo kamanda inategemea ana cheo gani, vyeo vya juu wana mpunga mrefu. Sasa unafikiri kupata kazi NIMR ni rahisi? Daktari tamisenga na take home yako ya 897K, unazidiwa parefu sana na kamanda aliye darasa la saba, ukikutana na kamanda mwenye degree kama wewe wa cheo cha kawaida tu, anamzidi hadi specialist wako, sasa hapo nani wa maana? Ungekuwa wewe Daktari ndo wa maana, taifa si lingekuwekea mishahara mikubwa?
Kjn hao wa pikipiki unakutanaga nao wapi? Nina wasi wasi na circle uliyonayo 😀Hizo pesa tajeni ...Mikwara ming na maendeleo hayaonekani mpakq zile pikipipi zimekuwa kama sare zenu.
Siwezi kutaja kwakweli, ila ufaulu wangu ulikuwa mkubwa tofauti na unavyowaza.Wewe umesomea nn
Hamjawahi kunitisha wala kuwa kwenye mawazo yangu ;kaka yangu ana miaka 50's na kitu ni mkubwa huko ... Maendeleo nilifanya miaka 3 yeye hafiki hata nusu ...Miaka mitano alikuwa kambini.🤣Kjn hao wa pikipiki unakutanaga nao wapi? Nina wasi wasi na circle uliyonayo 😀
Mbona hujiamini?Siwezi kutaja kwakweli, ila ufaulu wangu ulikuwa mkubwa tofauti na unavyowaza.
Hao jamaa mikwara tushawazoa hata wanajeshi wnaaokula hizo pesa sio mchezo ... Protocol za kijeshi sio rahisi ...Tafute mwanajeshi anayeanza kwa degree then mchukue wa ple TRA ..kqma unavyojua TRA hawafiki mil 3,wape miaka mitatu au minne uje kuangalia nan kafika mbali?🤣🤣Mbona hujiamini?
Kufungiwa miaka mitano kambini ni vyeo vya chini, afisa hafungiwi, pia maendeleo inategemea na nidhamu ya mtu ya matumizi ya fedha.Hamjawahi kunitisha wala kuwa kwenye mawazo yangu ;kaka yangu ana miaka 50's na kitu ni mkubwa huko ... Maendeleo nilifanya miaka 3 yeye hafiki hata nusu ...Miaka mitano alikuwa kambini.🤣
Of course maofisa wa tra wako mbele, ndio wengi wao wanashusha magorofa, labda kwa kuwa tra kuna mihela ya salary na miposho na magumashiHao jamaa mikwara tushawazoa hata wanajeshi wnaaokula hizo pesa sio mchezo ... Protocol za kijeshi sio rahisi ...Tafute mwanajeshi anayeanza kwa degree then mchukue wa ple TRA ..kqma unavyojua TRA hawafiki mil 3,wape miaka mitatu au minne uje kuangalia nan kafika mbali?🤣🤣
Ushawahi kusikia hili ghorofa la kijana wa Jeshini ana miaka mitano kazini tu 🤣🤣njoo hao TRA wana mijengo huko
Huko kuna wizi kjn, ukiangalia mishahara siyo mikubwa kumiliki ghorofa, mshahahara wa milioni tatu siyo pesa ya kumiliki ghorofa huo ni wizi kijana.Of course maofisa wa tra wako mbele, ndio wengi wao wanashusha magorofa, labda kwa kuwa tra kuna mihela ya salary na miposho na magumashi
Taaluma yangu siitajiMbona hujiamini?
Muache maana wanapenda sifa sana🤣🤣ukweli uko wazi kabisa ...Kimaisha sijawahi kuona maendeleo yao kabisa.Of course maofisa wa tra wako mbele, ndio wengi wao wanashusha magorofa, labda kwa kuwa tra kuna mihela ya salary na miposho na magumashi
🤣🤣Jomba nan anataka kuzeeka ,Yule Jk kuna mwanae huko jwtz na alikuwa huko miaka mingi ..Analijia jeshi mwanzo mwisho.Huko kuna wizi kjn, ukiangalia mishahara siyo mikubwa kumiliki ghorofa, mshahahara wa milioni tatu siyo pesa ya kumiliki ghorofa huo ni wizi kijana.
Sasa wewe upon hapo halmashauri umtingishe nani umezidiwa mshahara na masoja halafu unapata wapi ujasiri wa kuhoji starehe zao.Hizo pesa tajeni ...Mikwara ming na maendeleo hayaonekani mpakq zile pikipipi zimekuwa kama sare zenu.
Basi kaka ako ni fala mmoja tu kama wewe kwa akili hizo ulimpita kimaendeleoHamjawahi kunitisha wala kuwa kwenye mawazo yangu ;kaka yangu ana miaka 50's na kitu ni mkubwa huko ... Maendeleo nilifanya miaka 3 yeye hafiki hata nusu ...Miaka mitano alikuwa kambini.🤣
Mtoto wa JK?🤣🤣Jomba nan anataka kuzeeka ,Yule Jk kuna mwanae huko jwtz na alikuwa huko miaka mingi ..Analijia jeshi mwanzo mwisho.
Basi kaka ako ni fala mmoja tu kama wewe kwa akili hizo ulimpita kimaendeleo