- Ufaulu wako ungekuwa mkubwa au ungekuwa na akili usingetukana madaktari
- Taaluma ya u daktari ndio taaluma nyeti kuliko zote, no matter what, Afya ndio msingi wa kila kitu hata rubani hawezi kuendesha ndege kama Afya sio nzuri.
-Kama unasema daktari anatibu masikini basi na wewe umo ndani ya hao masikini kwa sababu watoa tiba ni madaktari na taaluma zinazofanana na hiyo (sayansi shirikishi), kwa hiyo matajiri wakiumwa wanatibiwa na nani? hoja yako hii inaonekana ya kiwango cha chini na wewe pia ni wa kiwango cha chini kielimu, kiufahamu na kiakili.
- Hao wanaozunguka na Rais kila nchi ni wangapi? na wewe umo? Kwa hiyo wenye pesa ni wanaozunguka na Rais tu si ndio? na wenye pesa ni walioko kwenye balozi tu? Madaktari wapo waliokuwa kwenye vitengo vyenye pesa na wako wasiokuwa kwenye vitengo vyenye pesa pia, kadhalika hizo taaluma nyingine wako walioko kwenye vitengo vyenye pesa na wako ambao hawapo kwenye vitengo vyenye pesa, hii pia inaonesha kuwa wewe ni wa kiwango cha chini kielimu, kiakili na kiufahamu na pia huna exposure.
-Kama madaktari wengi wapo tamisemi inamaanisha kila unaeonana nae ni daktari wa tamisemi si ndio?
- unasema kuna wengine walifeli form four tukawacheka kwani nani alikwambia usisome kwa bidii ukafaulu vizuri?
-kwa hiyo unaamini kila daktari ni masikini si ndio kama wewe ulivyokuwa masikini wa akili?
-