Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Na wale wanao wachukua form vi kwenda kusomea uafisa ni wa mwaka gani?
Huwezi kusema kuwa ni form iv wakati mtu kashajiendeleza tayari let say ana degree
Kwa muda huo hatuwezi kusema ni form four ila ilikuwa ni entry yao ,wengi wajiendeleza ... Serikali mwaka fulani iliomba Taasisi nyingi ziweke bayana elimu za watumishi wao waliomba nyongeza ya mshahara...Walitka wote wasome ili walipwe kima sawa ...Si mbaya kwa vile ukisoma elimu inatambulika .
 
Ni kweli ukisoma elimu inatambulika
 
Tukupe bunduki uende kupigana na M23? Hapo ndo utajua majukumu mengine ni magumu na baadhi ya wafanyakazi wanahitaji favour kwasababu ya asili ya majukumu yao.
Na Madaktari wa mishipa ya fahamu na ubongo wasemeje?
 
Taja ya jeshini ? Nami nikutajie
Sasa nani kaongelea habari za jeshi umeona sehemu yoyote kwenye comment yangu nimeandika mambo ya jeshi, mimi siijui mishahara ya jeshi mimi ninachohitaji kujua ni hizo taasisi zinazolipa 4m kwa entry level, si uzitaje kwani shida iko wapi mkuu mbona unazunguka sana
 
TCRA
 
Kanali ana miaka mingapi au ni mshahara wa mtu mwenye miaka 50 huko , wenzio entry level ni 4.5 mil yaani kijana anaingia bado.
Sehemu zenye entry level nyingi si ajabu kupanda kwake mishahara/madaraja itakuwa ni amount ndogo.
 
Huyu siku akiona salary slip ya cheo cha Mageneral yani Brig Gnr, mj Gnr na kuendelea mpaka Gnr mwenyewe atashanga sana hizo allowance wanazopata, nasema hivyo sababu amejijengea kichwani mwake kwamba Gnr anakula mil3.

Ngoja nimpe kitu kidogo kuanzia cheo Brig mpaka Gnr kwa mwaka wana budget ya zaidi ya 10bil kulipwa tu allowance ya uGeneral yani Brigedia General ,Meja General ,Luteni General na General mwenyewe. Yani hako General ka mwisho wenzako wanalipwa tena vizuri na fanya tafiti bongo hii wapo wangapi kwa vyeo hivyo yani ni wa kuhesabu sana na achana sijui kupewa Gari na serikali na n.k

Lengo langu lilikuwa sio hili👆👆👆 ila lengo lilikuwa ni kukuonesha makosa yako kwenye mishahara ya jamaa
Pia wakistaafu wanapewa V8, from major general and above.
 
Mentality za kijamaa ni kujiongopea ilhali uhalisia upo wazi. Hakuna usawa katika Dunia hata Mbinguni tunaambiwa kulikuwa na na malaika mkuu~jambo linaloashiria dhahiri kuwa tafsiri yake ni kuwa walikuwepo wa chini yake (hakuna usawa Wala mlimgano).

Kwamba Kuna mtu anajilaghai kwa kudhani kwamba ipo siku kutakuwa na maisha sawa ~ HAITOKAA ITOKEE.

Duniani Kuna warefu na wafupi, weupe na weusi, walemavu na waliotimia, wasioona na wanaoona, wasiosikia na wanaosikia, matajiri na masikini. Hakuna usawa
 
Back
Top Bottom