Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Kaka iv si unajau hata kanali ni afisa?
Last time nakumbuka nimechek ..... ya mzee flan, ilikuwa 2014, hapo ni luten kanal ilikuwa ni 5M, na uchfu
Wenzio entry level yule fresh graduate ni 4.5 Mil ,yuko ndani ya probation.
 
😅😅😅 hamna kitu hapa
Kanali wangu tu 6-7m na zaid , then General itakuaje? Wee
Kanali ana miaka mingapi au ni mshahara wa mtu mwenye miaka 50 huko , wenzio entry level ni 4.5 mil yaani kijana anaingia bado.
 
Unavyosema general m3 hahahahah
Hiyo ya bro wang ni captain.
General ana miaka mingapi na ni wakuhesabikq GENERAL ni mbali sana ..Nimekupa luteni haw usu na wengine...Angalia entry level Jeshini lazima uhaso na protocol zao ni ndefu sana .. wachache sana wanapiga pesa tena wa kuhesabika.
 
Hakuna watoto wa CCM ,unaongea kitu hukijua ...Hamna mishahara wala nafasi za kushindana na taasisi za umma ile top -tier...Binafsi nakuambia hao maluten wako hawakuti afisa pale LATRA ...kama unabisha tulete facts hapa wazi , tatizo unaficha ...Jesh tunaliheshima ila hawana hizo mambo ,mwenzio ana pesa ya mawasiliano laki 2 ,hiki ni kufurushi tu na huyo ni afisa grade II..Hao jamaa zako wafike hapo ujue wamefanya kazi miaka 10 mpaka 15.
Hhahah! Sema we jamaa inaonekana ulikuwa mgumu sana shuleni kuelewa, mimi nimekuja kukurekebisha kuhusu bandiko lako la mchongo kuhusu mishahara ya JW👇
downloadfile.png

Hili bandiko lako ndo limenifanya nije hapa na hakuna mahala nimesema hao sijui Tra,Tasac na wengineo hawawezi kuwazidi mshahara TPDF na nkasema kwa wanachokipata sio duni kabisa sasa wewe Unilever mambo ya Tra hapa ya nini.

A GENERAL alipwe 3mil?? duh hili si balaa

Haja hapa ni wewe ni MPOTOSHAJI mkubwa kuhusu mishahara ya JW na nimeona hapo juu unasema tui-expose mishahara Yao nasemaje kaingie kwenye hio taasisi na wewe ujue wanalipaje.
 
Kanali ana miaka mingapi au ni mshahara wa mtu mwenye miaka 50 huko , wenzio entry level ni 4.5 mil yaani kijana anaingia bado.
Ni taasisi ngapi nchi hii zinalipa hiyo pesa kwa entry level
 
Hhahah! Sema we jamaa inaonekana ulikuwa mgumu sana shuleni kuelewa, mimi nimekuja kukurekebisha kuhusu bandiko lako la mchongo kuhusu mishahara ya JW👇
View attachment 3310798
Hili bandiko lako ndo limenifanya nije hapa na hakuna mahala nimesema hao sijui Tra,Tasac na wengineo hawawezi kuwazidi mshahara TPDF na nkasema kwa wanachokipata sio duni kabisa sasa wewe Unilever mambo ya Tra hapa ya nini.

A GENERAL alipwe 3mil?? duh hili si balaa

Haja hapa ni wewe ni MPOTOSHAJI mkubwa kuhusu mishahara ya JW na nimeona hapo juu unasema tui-expose mishahara Yao nasemaje kaingie kwenye hio taasisi na wewe ujue wanalipaje.
Hiyo ni level za chini kuwa mwelewa ...Hawa waliokaa kambini miaka 5 ni kawaida sana..Tunaoa sana tunaishi nae mishahara hiyo ni sahihi .. General wako wangapi sio kila atakuwa general kwa wakati ,unaongelea mtu anapata pesa huku anahesabu siku za kustaafu...Hakuna hayo maslahi maendeleo hayajifichi ...Nililinganisha pesa yangu nikiwa afisa wa kawaida miaka ya nyuma na mjeda ambaye ni daktari nimpiga gapu kubwa ,huyu mwanae wa kwanza na mimi ,kanipita miaka 2 ni kama father wangu...Hapo alikuwa anahesabu siku za kustaafu ila kashafriki kitambo.
 
Ni taasisi ngapi nchi hii zinalipa hiyo pesa kwa entry level
Mara ya mwisho unajua lin walibadilisha ? Hao Tanesco walikaa zaidi ya miaka 10 bila ya kubadilisha unajua hilo ? TaaS nyingi zimefanya mapinduzi makubwa miaka ya hivi karibu ,hata hao TANROADS wa leo kaulize wako wapi...Ile abruptly watu wemeongeza kima cha mil 1 unafikiria ni mchezo... Protocal za kijeshi ni nidhamu na kuvumilia ,pia nawapa heshima sana ...Hakuna mwanajeshi mdogo chini ya miala 30 anakuja pesa ndefu unless aliingia kazini na miaka 20 ila .
 
Unajilinganishajee na mtu alokubali kufaa kwa maslahi ya Nchi yake na wewe bomu la machozi tu unatoka nduki,JW hatulali mipakani tunawalinda halafu utake usawa.Kweli tumelipwaaa tunakula Mademuu tuu hapa.
 
Unavyosema general m3 hahahahah
Hiyo ya bro wang ni captain.
Huyu siku akiona salary slip ya cheo cha Mageneral yani Brig Gnr, mj Gnr na kuendelea mpaka Gnr mwenyewe atashanga sana hizo allowance wanazopata, nasema hivyo sababu amejijengea kichwani mwake kwamba Gnr anakula mil3.

Ngoja nimpe kitu kidogo kuanzia cheo Brig mpaka Gnr kwa mwaka wana budget ya zaidi ya 10bil kulipwa tu allowance ya uGeneral yani Brigedia General ,Meja General ,Luteni General na General mwenyewe. Yani hako General ka mwisho wenzako wanalipwa tena vizuri na fanya tafiti bongo hii wapo wangapi kwa vyeo hivyo yani ni wa kuhesabu sana na achana sijui kupewa Gari na serikali na n.k

Lengo langu lilikuwa sio hili👆👆👆 ila lengo lilikuwa ni kukuonesha makosa yako kwenye mishahara ya jamaa
 
Kanali ana miaka mingapi au ni mshahara wa mtu mwenye miaka 50 huko , wenzio entry level ni 4.5 mil yaani kijana anaingia bado.
We achana na mambo ya ana miaka mingapi huku hiyo ya miaka mingapi acha nayo au unadhani Hawa ni walimu kwamba Kadri anavyofanya kazi mda mrefu ndo pesa inakuwa nzuri huku cheo mzee hiyo sijui annual increment ni kidogo sana
 
Nimekutajia entry level unaleta watu wana vipara kabisa , 😀 Weenye pesa jeshini wanahesabika hawa wengine ni mikopo damu damu ..Miaka 10 utatoa macho ila huku kwingine dogo miaka mitatu ana mkoko , ana exposure ya kutosha ...Unaongela cheo wakati baadhi ya taasisi huyo principal kwa mwezi yuko safari hata siku 15 na zaidi , sasa hesabia hizo posho na mshahara wake , mtu ana posho ya usimamiz tu Mil 2.2 .unacheza kweli ..Entry level hajui chochote anakula mil 4 pale TCAA akifika kuwa senior?
 
Mara ya mwisho unajua lin walibadilisha ? Hao Tanesco walikaa zaidi ya miaka 10 bila ya kubadilisha unajua hilo ? TaaS nyingi zimefanya mapinduzi makubwa miaka ya hivi karibu ,hata hao TANROADS wa leo kaulize wako wapi...Ile abruptly watu wemeongeza kima cha mil 1 unafikiria ni mchezo... Protocal za kijeshi ni nidhamu na kuvumilia ,pia nawapa heshima sana ...Hakuna mwanajeshi mdogo chini ya miala 30 anakuja pesa ndefu unless aliingia kazini na miaka 20 ila .
Mkuu mbona hujajibu swali langu, nimeuliza ni taasisi ngapi nchi hii zinazotoa huo mshahara kwa entry level, zitaje hapa
 
Mkuu mbona hujajibu swali langu, nimeuliza ni taasisi ngapi nchi hii zinazotoa huo mshahara kwa entry level, zitaje hapa
Kwani hapa tumeongea , au jeshini wote mnaanza na million ?

Na taasisi zipo nyingi mbona ,nyie hamseni ,tajeni .
 
Ndio ...
1. Best friend yupo huko
2. One of my love yupo huko
3. Kuna pisi naipiga Tunduma ipo huko
4. .....
1. Mshahara 900k na kitu
2. Wanapewa house allowance
3. Wanapewa hela ya kazi 150k

Makato yao ni afya na kodi tu
Hawana chama.

Ukitoa makato wanaondoka na Mil 1.something

SUTI ZAO ZINAKUTISHA??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Usilolijua ni kama usiku wa giza.
 
Back
Top Bottom