pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
We jamaa mbona unaleta fact za hovyo hivyo sasa unataka wote waajiriwe kwenye taasisi za fedha nzuri sasa wataajiriwa wangapi sasa.Mzee usidanganywe huko kama kungekuwa hivyo ...Wale CCM wangejaza watoto ,naongelea wabunge na mawaziri ...Huku kutupu nilikuwa nafikria hayo miaka mingi ila nashukuru sijafika pia .
Watu wakubwa tu na hadhi zao wanapeleka watoto wao mpaka polisi na magereza huko sembuse TPDF mzee