Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Kaka iv si unajau hata kanali ni afisa?
Last time nakumbuka nimechek ..... ya mzee flan, ilikuwa 2014, hapo ni luten kanal ilikuwa ni 5M, na uchfu
Hizo ni posho, mshahara, na stahiki nyingine ndio inafika hiyo,
Linganisha na Meneja wa tra mkoa let say Dar
 
We achana na mambo ya ana miaka mingapi huku hiyo ya miaka mingapi acha nayo au unadhani Hawa ni walimu kwamba Kadri anavyofanya kazi mda mrefu ndo pesa inakuwa nzuri huku cheo mzee hiyo sijui annual increment ni kidogo sana
Swali lake Lina msingi kwa sababu kwenye utumishi wa umma the more unafanya kazi miaka mingi ndio the more unalipwa
 
Kwani mimi nilikuwa nasemea hapo ofisini kwenu? Muundo wa ajira za tra unafanana na hapo kwenu?
Muundo wa ajira za serikali zinafanana.

Walinzi, wapika chai na wafanya usafi HAWAHITAJI UJUZI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nipe entry level za huko kwenu japo najua ni siri sana na hazitakiwi kuwekwa public.
Kwao wapi?

Braza sasa hivi mishahara ya Taasisi zoteeee ipo waziiii.

Zamani hizo ndio ilikuwa siri, sasa hivi ukitaka mshahara wa mtu yeyote rahisi kuujua.

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
 
Kwao wapi?

Braza sasa hivi mishahara ya Taasisi zoteeee ipo waziiii.

Zamani hizo ndio ilikuwa siri, sasa hivi ukitaka mshahara wa mtu yeyote rahisi kuujua.

#YNWA.
#YANGA_BINGWA
Hawa wanajeshi kwa entry level ..Hawa mishahara yao mpak mtu awe na cheo sana yaani amekaa sana.
 
Naomba nitajie mbili please🙏
Kuna jamaa ni engineer II naona Mambo yake sio mabaya
Na dharau za kada zilianza pale mishahara ilipo julikana.

Mfano:
1. Zamani walimu walikuwa wanashemika sanaa.
Ila utandawazi ulivyoingia mishahara yao ilivyoanza kujulikana DHARAU KWA WALIMU ZIKAANZA.

2. 2012 baada ya kuingia serikalini nilikuwa nawakubali sanaa TISS
Bwana 2014 zikaingia ajira mpya, nikajipatia pisi yangu ya TISS.
Kupiga pumb(u) ile mahaba niue akanitajia mishahara na posho zao zoteee.
Aisee nikashangaa "Kumbe nao ni wakaida tu""

Mtu akijua income yako ndio ANAKUPIMIA LEVEL YA HESHIMA ATAKAYO KUPA..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hawa wanajeshi kwa entry level ..Hawa mishahara yao mpak mtu awe na cheo sana yaani amekaa sana.
Mishahara yotee ya wanajeshi ukitaka kuijua ukajipa assigment kuanzi leo, mbona wiki ijayo unakuja nayo yotee..

Dunia ya sasa iko wazi sanaaa, KILA KITU KIPO WAZI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Muundo wa ajira za serikali zinafanana.

Walinzi, wapika chai na wafanya usafi HAWAHITAJI UJUZI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Serikalini walinzi wanatoka suma jkt kwa sasa ni zamani sana ndio taasisi zilikuwa Zinaajiri with exception to baadhi ya taasisi kama Judiciary,
ni lini tra wameajiri walinzi?
Muundo wa utumishi wa tra ni sawa na wenu? Tra kuna kamishna mkuu, naibu kamishna mkuu, makamishna, manaibu makamishna, mameneja, mameneja wa wilaya, kwenu huo muundo upo?
Tra muundo wake ni afisa II, afisa I, full ofisa, senior, principal kwenu ipo?
 
Na dharau za kada zilianza pale mishahara ilipo julikana.

Mfano:
1. Zamani walimu walikuwa wanashemika sanaa.
Ila utandawazi ulivyoingia mishahara yao ilivyoanza kujulikana DHARAU KWA WALIMU ZIKAANZA.

2. 2012 baada ya kuingia serikalini nilikuwa nawakubali sanaa TISS
Bwana 2014 zikaingia ajira mpya, nikajipatia pisi yangu ya TISS.
Kupiga pumb(u) ile mahaba niue akanitajia mishahara na posho zao zoteee.
Aisee nikashangaa "Kumbe nao ni wakaida tu""

Mtu akijua income yako ndio ANAKUPIMIA LEVEL YA HESHIMA ATAKAYO KUPA..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Alikutajia hukuona si ndio?
 
Serikalini walinzi wanatoka suma jkt kwa sasa ni zamani sana ndio taasisi zilikuwa Zinaajiri with exception to baadhi ya taasisi kama Judiciary,
ni lini tra wameajiri walinzi?
Muundo wa utumishi wa tra ni sawa na wenu? Tra kuna kamishna mkuu, naibu kamishna mkuu, makamishna, manaibu makamishna, mameneja, mameneja wa wilaya, kwenu huo muundo upo?
Tra muundo wake ni afisa II, afisa I, full ofisa, senior, principal kwenu ipo?
Tunaongelea Form four.

Jikite na hoja; FOUR FORM wasio na ujuzi wapo kwenye ofisi kibao.

Ajira za serikali kwasasa ni Form Four ndio least education level baada ya sheria kufanyiwa ammendments na elimu ya darasa la saba kutolewa.

Tunaongelea tra, sasa ni lini tra wemeajiri form iv?
 
Alikutajia hukuona si ndio?
Unakaa na demu ndani miezi na miezi usione documents zake?

Huyo wako kama anakuficha we tomb(a) vizuri uone anavyodata..

Alifika mpaka hatua ya kupiga picha za uchi kwenye siku yangu.

Unaijua hii level ya trust ikifika hii hatua??

We mtomb(e) huyo piga pumb(u) hasaaaa uone kama hatakumwagia kila kitu.

JAPO SASA HIVI NI MKE WA MTU 🤐🤐🤐

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom