Sheria zinazotumika ni public service act, public service regulations, standing order, katiba, maelekezo, waraka za serikaliLabour Relation Act and Regulations zina exclude TRA??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sheria zinazotumika ni public service act, public service regulations, standing order, katiba, maelekezo, waraka za serikaliLabour Relation Act and Regulations zina exclude TRA??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Unajua jeshi ni nchi kamili ,zile kada zote za nje kwao zipo then wanapanga wao ..Kuna wanaokula mara mbili mbili , Mshahara wa jeshi na taalum..Jeshi kuna taaluma zina pesa kuliko cheo ...Mishahara yotee ya wanajeshi ukitaka kuijua ukajipa assigment kuanzi leo, mbona wiki ijayo unakuja nayo yotee..
Dunia ya sasa iko wazi sanaaa, KILA KITU KIPO WAZI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sheria zinazotumika ni public service act, public service regulations, standing order, katiba, maelekezo, waraka za serikali
Kheeh yamekua hayp tena? LOLKwa hivyo vilaki tatu vyako unavyolipwa sio acha dharau
Mtaani utasikia mengi sanaa jombaaa, yaani mengi .....Unajua jeshi ni nchi kamili ,zile kada zote za nje kwao zipo then wanapanga wao ..Kuna wanaokula mara mbili mbili , Mshahara wa jeshi na taalum..Jeshi kuna taaluma zina pesa kuliko cheo ...
Unazijua sheria zinazotumika kwenye utumishi wa umma?
Miruzi ni mingi sana,kikubwa kuridhika tu.Mtaani utasikia mengi sanaa jombaaa, yaani mengi .....
1. TRA ndio wanapata rushwa sanaa "Jiulize mbona na wao wana njaa??""
2. Traffic hakosi mboga nyumbani "Ukikaa nao bar nao Njaa tu""
3. Wanajeshi wanahela nyie ""unakutana nao wanakimbia bill bar""
4. BOT na HAZINA ndio kuna mpunga ""Nina jamaa wapo Mbeya BOT nakutagana nao viwanja na nyumba zao nazijua NI WAKAWAIDA TUUU""
5. Ukiwa Wizara safari kibao posho kibaooo ""Ni kweli kwa maafisa wote""
Ndugu yangu MTAANI UTASIKIA MENGI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kwa vipato vyao maafisa wa tra hawana njaaMtaani utasikia mengi sanaa jombaaa, yaani mengi .....
1. TRA ndio wanapata rushwa sanaa "Jiulize mbona na wao wana njaa??""
2. Traffic hakosi mboga nyumbani "Ukikaa nao bar nao Njaa tu""
3. Wanajeshi wanahela nyie ""unakutana nao wanakimbia bill bar""
4. BOT na HAZINA ndio kuna mpunga ""Nina jamaa wapo Mbeya BOT nakutagana nao viwanja na nyumba zao nazijua NI WAKAWAIDA TUUU""
5. Ukiwa Wizara safari kibao posho kibaooo ""Ni kweli kwa maafisa wote""
Ndugu yangu MTAANI UTASIKIA MENGI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Wee em sema kweli?Mbona ww ni mtoto mzuri tu lakini muda mwingine una maneno makali sana
Kumalamaamaaaaa akeeeKwa vipato vyao maafisa wa tra hawana njaa
Kipato cha 3m Hana njaa, kuvaa shati limepauka sio kigezoKumalamaamaaaaa akeee
Boss mimi ni mfanyabiashara, mwenye kampuni na madili haramu kibaooo.
Sasa nakwambia "HAKUNA MWENYE NJAA KAMA TAX OFFICER WA TRA""
Shati limepaukaa, kinachong'aa ni tai tuu.
Wananjaaa kiseng(eeeeeeeee).
Labda Custom ambaye yupo Boda kama Tunduma.
Na huyu rushwa ndio zinampaisha.
Ila hawa wanaokadiria watu income tax, WANANJAAAA HASAAAAAA
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Usiridhike pambana.Miruzi ni mingi sana,kikubwa kuridhika tu.
Mil 3 🫣🫣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kipato cha 3m Hana njaa, kuvaa shati limepauka sio kigezo
Ndio nazijua na hiyo INATUMIKA.Unazijua sheria zinazotumika kwenye utumishi wa umma?
Usilolijua ni kama usiku wa giza
Ni kwenye mazingira gani hiyo sheria inatumika?Ndio nazijua na hiyo INATUMIKA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Pole kama walikudanganya wakakupa moyo.Usilolijua ni kama usiku wa giza
Jina lake lina sadifu mazingiraNi kwenye mazingira gani hiyo sheria inatumika?
Una elimu gani?Jina lake lina sadifu mazingira
KALISOME TENA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA