Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Pole kama walikudanganya wakakupa moyo.

Hao mil 3 ni senior na Principles ambao wamesota sanaa kazini.

Hata mimi mshahara wangu ndio huu ila bado napambana

😀😀😀😀

Usiniulize NALEA VIPI HAWA WATOTO AMBAO KILA MMOJA ANA MAMA AKE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
🤣🤣🤣
 
Pole kama walikudanganya wakakupa moyo.

Hao mil 3 ni senior na Principles ambao wamesota sanaa kazini.

Hata mimi mshahara wangu ndio huu ila bado napambana
View attachment 3310964
😀😀😀😀

Usiniulize NALEA VIPI HAWA WATOTO AMBAO KILA MMOJA ANA MAMA AKE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
huu sio mshahara wako, ni baada ya makato ya mikopo
 
Bro jana nimeuza viazi vyangu ,njoo Mwailubi mida mida tupate maji kidogo
Niko Tunduma mwana
Kuna magendo balaaaa.

Hii nchi bila kukosana na serikali ukategemea mshahara HUTOBOI.

Nakuja usiku NASOMA hapoo.
Kuna pisi nishaipanga.

Maisha ni hayahaya na Dunia tunapita.
We live onces.
LETS ENJOY.

Sawa kaka
Nilishaacha kuvusha hao jamaa wa Fiston walitaka nikafie jela
 
Ukideal na magendo uwe na hela ya fasta.

Na wagumu ni TRA tu, ambao nao wana njaa kama wewe.

Usikate tamaa RUDI TENA TUNDUMA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hela ilikuwepo bro ,kilikuwa kipindi cha christmass waliniganda hao jamaa wa hapo mara wakaja hao washikaji wa cruiser nyeupe ilibaki kidogo niende lupango na gari waliseize ila nilipiganisha yakawa sawa .

Nitarudi Tunduma ila kwqnza nifike Tandika kwa bibi kuna mambo tuupdate nahisi yameexprire bro .

Pamoja nigga tutaonana mida
 
Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado.

Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa

Wanapaswa kutambua wanajeshi tunaishi nao mitaani kwahiyo hakuna siri.

Tunajua Jeshi ni kada muhimu lakini bado sio sahihi kufanya hivi kwani haileti picha nzuri kwa umma.

Washauri muwe msaada kwa viongozi na si vinginenyo.
Hawa jamaa wanapata special treatment ya malipo sababu si raia kama wafanyakazi wengine.Wako standby kwenye maafa au vita vya kulinda nchi yetu.Hata kwenye meimosi huwaoni.Sasa we we unataka wapige miayo ili iweje.taf bana
 
Hela ilikuwepo bro ,kilikuwa kipindi cha christmass waliniganda hao jamaa wa hapo mara wakaja hao washikaji wa cruiser nyeupe ilibaki kidogo niende lupango na gari waliseize ila nilipiganisha yakawa sawa .

Nitarudi Tunduma ila kwqnza nifike Tandika kwa bibi kuna mambo tuupdate nahisi yameexprire bro .

Pamoja nigga tutaonana mida
Mimi wali "Sizi" mzigo wa Mil 2 wale mbwa.
Nilikuja kuupata una wiki kabla huja expire.
Wale jamaaa walaaniwe woteeeee

Wataalamu wapo Makete na Kilolo.

Usikate tamaaa

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nimekutajia entry level unaleta watu wana vipara kabisa , 😀 Weenye pesa jeshini wanahesabika hawa wengine ni mikopo damu damu ..Miaka 10 utatoa macho ila huku kwingine dogo miaka mitatu ana mkoko , ana exposure ya kutosha ...Unaongela cheo wakati baadhi ya taasisi huyo principal kwa mwezi yuko safari hata siku 15 na zaidi , sasa hesabia hizo posho na mshahara wake , mtu ana posho ya usimamiz tu Mil 2.2 .unacheza kweli ..Entry level hajui chochote anakula mil 4 pale TCAA akifika kuwa senior?
Hahah! Sasa hivi unakuja mwenyewe eti wenye pesa wanahesabika, sasa achana na wenye pesa kuhesabika nasemaje NIMEKUJA KWENYE HII MADA SABABU WEWE UMEPOTOSHA MASHAHARA YA TPDF baasi we ukija sijui mara safari mara sijui entry level me sipo huko nimemaliza.
 
Safari ni utajiri kwenye baadhi ya mashirika ya umma, watu wanajenga magorofa kwa per diem
 
Safari ni utajiri kwenye baadhi ya mashirika ya umma, watu wanajenga magorofa kwa per diem
Wasikudanganye "Majengo yanajengwa" "Ma V8 yananunuliwa" na ""Biashara zinakuwa" KWA HELA YA WIZI.

Watu hawachagui ofisi kimshahara, raia tunaangalia EXTRA BAADA YA MSHAHARA.

Maisha sio MSHAHARA

Maisha ni MADILI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom