Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,464
- 12,564
Taka niweke salary slip yangu ukifika wewe pamoja na baba yako ... Mshahara wangu kwa kuunganisha nakupa fidia.Sasa wewe upon hapo halmashauri umtingishe nani umezidiwa mshahara na masoja halafu unapata wapi ujasiri wa kuhoji starehe zao.
Mkaguzi Mkuu wa serikali( CAG) aliyepita alikuwa anatumia Toyota IST na yeye utasema alikuwa hana hela sio na ndio maana nimekwambia vitu vya luxury ni jinsi mtu mwenyewe anavyoona yeye, pte wa JW kununua sijui vanguard sijui harrier hashindwi lakini kila mtu vipaumbele vyake ko kaa kwa kutulia hapo halmashauri