Una uhakika alikuwa analipwa 9m? Btw nimekwambia 2014So walikuwa wanalipwa hela nyingi kuliko Magufuli ambaye alikuwa analipwa milioni 9?
Una uhakika alikuwa analipwa 9m? Btw nimekwambia 2014So walikuwa wanalipwa hela nyingi kuliko Magufuli ambaye alikuwa analipwa milioni 9?
Alitangaza yeye mwenyewe MagufuliUna uhakika alikuwa analipwa 9m? Btw nimekwambia 2014
Unajua waliambiwa nn? Una uhakika Magufuli alikiwa analipwa Mil 8,?So walikuwa wanalipwa hela nyingi kuliko Magufuli ambaye alikuwa analipwa milioni 9?
Hakuna mshahara wa General pale wale ni maafisi ngazi za juu...S
Screenshot uliyopost umeisahau au siyo wewe?
Alisema, sasa unataka uhakika gani, unataka niione salary slip ya Rais?Unajua waliambiwa nn? Una uhakika Magufuli alikiwa analipwa Mil 8,?
Soma hiyo screenshot yako, umepotosha umma afu unabisha, mshahara wa jenerali ni 3.5m, unaokota wapi maneno ya mitaani?Bro naishi na luteni ni jamaa yangu hapa kwetu , kama mimi mwongo nakuambia posho anayolipwa afisa wa taasisi kamq LATRA basi huyo jamaa hafiki mshahara wake wa mwezi ... wanajeshi wana uzuri kwenye mikopo ,riba zao ,upataji wa bidhaa jeshini safi ....Ila ni wa kawaida unakuta ,afisa tu wa kawaida taasisi fulani ana pesa ya mawasiliano laki 2 ,nyumba laki 6 ,risk allowance lako 5 ,meal laki 5 , festival allowance kama kipind hiki cha sikukuu inafika mpaka laki 6..Utamwambia nn ...Per diem zimebadlishwa wengi wanacheza 250k per day , Utamwambia nn ?
View attachment 3310243
Hahahaaa usikute wamepewa RESHENI kwanza.ki
Kila mwenye kutafuta, hupata kulingana na utafutaji wake ndugu.Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado.
Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa
Wanapaswa kutambua wanajeshi tunaishi nao mitaani kwahiyo hakuna siri.
Tunajua Jeshi ni kada muhimu lakini bado sio sahihi kufanya hivi kwani haileti picha nzuri kwa umma.
Washauri muwe msaada kwa viongozi na si vinginenyo.
Naona umekimbilia huko na tulikuwa kwenye afisa 😀 😀Soma hiyo screenshot yako, umepotosha umma afu unabisha, mshahara wa jenerali ni 3.5m, unaokota wapi maneno ya mitaani?
Basi endelea kufikria hivyoAlisema, sasa unataka uhakika gani, unataka niione salary slip ya Rais?
Nimekosoa upotoshaji wako, mishahara uliyosema ni midogo, una underate taasisi yenye heshima kubwa nchi nzimaNaona umekimbilia huko na tulikuwa kwenye afisa 😀 😀
Umeambiwa cheo cha juu kama General ,so sio lazima awe General ,kuna vyeo kama makundi matatu au manne.Nimekosoa upotoshaji wako, mishahara uliyosema ni midogo, una underate taasisi yenye heshima kubwa nchi nzima
Unafahamu jenerali ni kuanzia cheo kipi?Umeambiwa cheo cha juu kama General ,so sio lazima awe General ,kuna vyeo kama makundi matatu au manne.
General ni cheo cha juuUnafahamu jenerali ni kuanzia cheo kipi?
Hebu taja hivyo vyeo unavyosema ni makundi manne
Vipo vyeo vinne vina status ya jenerali. Kuna birigedia jenerali, meja jenerali, luteni jenerali na jenerali kamili (full General, huyu ndo mkuu wa majeshi) so wacha kupotosha watu hakuna unachojua kwenye jeshi.General ni cheo cha juu
Pole Sana. Hutu tuhela twa kikokotoo hata hatukai.Kwako ni wivu ila kwangu ni maumivu maana sidhani hata hela ya bia kesho kama itakuwepo maana zineshaishia kwenye tumikopo na tuvinywaji fulani
Zinn nenda kachukue mkopo saccos mshahara ushaisha 😀
Hivyo ni vyeo vya juu kwa ujumla.Vipo vyeo vinne vina status ya jenerali. Kuna birigedia jenerali, meja jenerali, luteni jenerali na jenerali kamili (full General, huyu ndo mkuu wa majeshi) so wacha kupotosha watu hakuna unachojua kwenye jeshi.
Huyo jamaa unabishana nae nini wakati kwenye majeshi ni mtupu kabisa hajui anachokijua sasa hata hapo tu ukimuuliza nini maana ya section hajui achana nae mzee huyo anakupotezea mda!Vipo vyeo vinne vina status ya jenerali. Kuna birigedia jenerali, meja jenerali, luteni jenerali na jenerali kamili (full General, huyu ndo mkuu wa majeshi) so wacha kupotosha watu hakuna unachojua kwenye jeshi.
😀😀😀 mzigo ushaisha bwashee, kuna kazi huwa hawachukui hata salary kwa sababu ya vikao, na safari, sitting allowance ya kikao kimoja ni 250,000/- kwa mwezi vikao vitano, per diem akisafiri 5 days(wastani wao hauzidi 10 days per month)ni 1,200,000/- [ on transit 100,000 kwa 100,000] akijumlisha ana 2.2m, salary take home 1.9m, extra duty yake 700,000/-, posho ya incentive 850,000/-, Mafuta allowance 400,000/- huyu kweli salary hawachukui, ni kwenye shirika la Umma moja hiviMshahara hata sijauwithdraw mpaka sasa, wa zamani haujaisha, siku zingine inakutana ya miezi miwili.