Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

Usiogope mkuu

Tunawapa siku mbili tuu zitakwisha jumatano tutaenda nao sawa😁
 
Wanajeshi sio watumishi wa umma. Kulipwa mshahara mapema ni sawa tu!!
 
Ngoja tuwakomeshe wachungaji na maaskofu wenu. Sadaka ya pasaka itakuwa kiduchu ili watukane vizuri.Mshahara saa 5 baada ya misa. Mb. uwa nyie
 
Kuna watu humu wanawadharau sana watu walioajiriwa

Sababu ni mapoyoyo kama wewe, mtu na akili zako umetoka mshahara unakimbilia kutangaza JF, tarehe 19 unalialia mshahara haujatoka.

Acha Matumizi mabaya ya pesa, tumia kutokana na kipato chako
 
Reactions: Tui
Hivi kuna kada muhimu hapa duniani kuliko elimu na afya. Hujui kuna nchi hapa duniani hazina majeshi lakini kuna kada muhimu km elimu na afya na wala hawajui vita vinafananaj. Unapafaham Uswis wewe. Majeshi yanatukuzwa Africa sababu ya Ubwanyenye wa watawala na nchi za kimafya km US na Europe
 

Mwanajeshi sio mtumishi wa umma .. kama wewe ..mikataba yao ipo tofauti na mtumishi wa kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…