Wizard ipi moja? Ona ulivyo mbumbumbu, Wizara zipo nne tofauti, kuna Wizara ya mambo ya ndani, wizara ya maliasili na utalii, wizara ya ulinzi na wizara ya menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora, zote hizo zina majeshi ndani yakeNaona unaanza kutupa taulo ,kaa kwa kutulia ..Hamna kitu cha siri washasoma sana palw bungeni ; wizara yenu ni moja ,mnapishana kitu kidogo sana...Angalia nakupiga magoli tu ,hauna jibu...
Una matatizo kichwani, sasa nimegugo saa ngapi, angalia nimekujibu dakika ngapi baada ya kupost afu ujiulize nimegugo saa ngapi na kuandika saa ngapi.Lazima tu uende google 🤣🤣🤣
Njoo kwehii screenshot unakimbia nini?Kama ni kupost tu screenshot tu namimi ninazo hizo hapo, zinaonyesha afisa TRA wa degree ana 1.2-1.8mil, mbona ushahidi wangu hauujibu umenyamaza tu?
Umenielewa na nilichoongea hapa nipo unabaki kuwa form four ,nimekupa ile aliyotaja kwamba mnalamba 1,200,000 kkwa mwenye nyotaWizard ipi moja? Ona ulivyo mbumbumbu, Wizara zipo nne tofauti, kuna Wizara ya mambo ya ndani, wizara ya maliasili na utalii, wizara ya ulinzi na wizara ya menejiment ya utumishi wa umma na utawala bora, zote hizo zina majeshi ndani yake
Sema A level ulisoma combination gani kwanza? Au ndo wale mliofeli form four na kuunganisha certificate, then diploma, mkachomekwa kwenye ajira, kisha pindi mpo kwenye ajira, mkaenda open University kuokota degree za bure bure?Hiyo ni hotuba ,naonq unatumia na maendeleo yanaonekana kabisa ,hauna kitu ..Kaa kwa kutulia ..Wenzio wanakushangaa huko pembeni na nyota yako ,hapo unaanza afisa kamanda .Hiki nn ?
Ufike A level haujui kwamba kuna certificate na diploma ? Kafie mbele huko!🤣🤣
Wizara ya ulinzi na Wizara ya mambo ya ndani ni wizara moja? Mbona huelewi hata screenshot yako uliyopost? Unajiaibisha kijana, nina wasiwasi na kiwango chako cha uelewaUmenielewa na nilichoongea hapa nipo unabaki kuwa form four ,nimekupa ile aliyotaja kwamba mnalamba 1,200,000 kkwa mwenye nyota
.Ile ni wizara moja ..
wewe uko wapi tufungue vault ? Wapo mpaka wizara ya uchukuzi ,ukibisha nakuletea?
Hebu nipe link au full reference ya hii screenshot kwanza, nione shida ya upotoshaji imeanzia wapi.Hii hotuba ulisikiliza ? wewe jamaa haujajibu hata moja , endelea kudanganya na kilipwa laki 700,000 ya degree ..Wenzio maendeleo yanaonekana 🤣🤣🤣..Kijana nilikuona zoba ulipoanza kujiona muhimu kuliko madaktari ,mimi nitaendelea kukuchana mpaka ujitambue.
View attachment 3319916
Hata nikikuambia hamna unachojua ,huku kwetu hamna elimu ya darasa la saba wala form four .. Cutting point hakuna hao watu ,we set standards from the beginning.Sema A level ulisoma combination gani kwanza? Au ndo wale mliofeli form four na kuunganisha certificate, then diploma, mkachomekwa kwenye ajira, kisha pindi mpo kwenye ajira, mkaenda open University kuokota degree za bure bure?
Nina mashaka na hako kadigrii kako, maana ni mgumu kuelewa, unapewa hoja kujibu.
Hakuna polisi mwenye degree anaelipwa hivyo tena hapo nakukataliaHii hotuba ilisomwa lin au bado una ushamba ...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huo mshahara hamfiki ,kama unabisha prove ,nikp online masaa 24 ,inakuuma ila ni ukweli.
View attachment 3319915
Haaah ,jamaa wako uchi wanalialia kuwa juu.Hakuna polisi mwenye degree anaelipwa hivyo tena hapo nakukatalia
Huu mshahara ulikuwa wa miaka ya nyuma Enzi ya mzee Jakaya tena hata kuna mtu humu alipost mkataba wa mwanasheria kibatala Enzi hizo akiwa polisi figure zilikuwa zinasoma hivyo ila mshahara ulishabadilishwa narudia hakuna polisi mwenye mshahara huo.Hii hotuba ulisikiliza ? wewe jamaa haujajibu hata moja , endelea kudanganya na kilipwa laki 700,000 ya degree ..Wenzio maendeleo yanaonekana 🤣🤣🤣..Kijana nilikuona zoba ulipoanza kujiona muhimu kuliko madaktari ,mimi nitaendelea kukuchana mpaka ujitambue.
View attachment 3319916
Shida yako wewe unashinda humu mda wote kubishana nakwambia juzi hata wiki haijaisha nimetoka kuangalia salary slip ya dogo hana mshahara huo acha ubishi weweHaaah ,jamaa wako uchi wanalialia kuwa juu.
Hii imesomwa lin ? Jamaa yako namueleza kuhusu entry level ya nyota ,anasema eti afisa kamanda🤣🤣🤣Hakunq mtu anaingia jeshini na kuwa makanda hata polisi.Huu mshahara ulikuwa wa miaka ya nyuma Enzi ya mzee Jakaya tena hata kuna mtu humu alipost mkataba wa mwanasheria kibatala Enzi hizo akiwa polisi figure zilikuwa zinasoma hivyo ila mshahara ulishabadilishwa narudia hakuna polisi mwenye mshahara huo.
Nna mdogo wangu juzi tu hapa nimetoka kuangalia salary slip yake hakuna huo mshahara huo ni zaidi ya huo
Sasa si utaje , maendeleo hamna kifupi 🤣Shida yako wewe unashinda humu mda wote kubishana nakwambia juzi hata wiki haijaisha nimetoka kuangalia salary slip ya dogo hana mshahara huo acha ubishi wewe
Nina kifurushi cha pesa ndefu ,najua hauna allowance ya muda wa maongezi ,mnatekenyeka wenyewe ..Nilisema entry level unaleta afisa kamanda hapa🤣🤣🤣..Kaeni mtulie kwenye pesa hamna mbwembwe hakuna darasa la Saba wala form four kwenye Taasisi.Huyu jamaa kweli inaonekana hajasoma maana sio kwa ubishi huo halafu mda wote yupo humu😂😂 mzee unafanya kazi saa ngapi au ndo kama jamaa alivyosema hapo juu kuwa wewe ni jobless unasumbua humu kutwa kushinda humu
Mzee omba Mungu upate kazi uache kushinda humu maana hata ujasiriamali umekushinda, shemeji yako anafanya kazi TRA amefunga wi-fi hapo home wewe kutwa kucha kusumbua watu kwa upotoshajiNina kifurushi cha pesa ndefu ,najua hauna allowance ya muda wa maongezi ,mnatekenyeka wenyewe ..Nilisema entry level unaleta afisa kamanda hapa🤣🤣🤣..Kaeni mtulie kwenye pesa hamna mbwembwe hakuna darasa la Saba wala form four kwenye Taasisi.
Ile aliyopost Wakili madeleka ilikuwa ya 2016/17, ambapo salary ya cheo chake kipya cha inspector ni 990,000/- hadi 1,170,000/-Huu mshahara ulikuwa wa miaka ya nyuma Enzi ya mzee Jakaya tena hata kuna mtu humu alipost mkataba wa mwanasheria kibatala Enzi hizo akiwa polisi figure zilikuwa zinasoma hivyo ila mshahara ulishabadilishwa narudia hakuna polisi mwenye mshahara huo.
Nna mdogo wangu juzi tu hapa nimetoka kuangalia salary slip yake hakuna huo mshahara huo ni zaidi ya huo
You are right mkuu, sasa huyu mwamba humu yeye anapotosha sana halafu tukimwambia anakaza fuvu labda anaweza kuamini kwa kuwa ni mtu tofauti ambae amemthibitishiaIle aliyopost Wakili madeleka ilikuwa ya 2016/17, ambapo salary ya cheo chake kipya cha inspector ni 990,000/- hadi 1,170,000/-
Kwa sasa assistant inspector ni 950,000/ kwa magereza ni 850,000/
Kwa tafsiri rahisi ni kwamba wameongezwa elfu 90 kwa nyota 1 police, na elfu 80 kwa nyota 1 magereza
Lakini huyo jamaa hoja yake kuu ni jwtz tu sio police wala prison,You are right mkuu, sasa huyu mamba humu yeye anapotosha sana halafu tukimwambia anakaza fuvu labda anaweza kuamini kwa kuwa ni mtu tofauti ambae amemthibitishia