Aliyeshtakiwa kuua mke kwa kumchoma moto aomba mahakama imwachie huru

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa, ameiomba Mahakama Kuu imuachie huru kwa sababu hadi sasa hakuna ushahidi wa kutosha wa kumshtaki.

KESI.jpg

Luwonga aliwasilisha ombi hilo jana mbele ya Jaji Obadia Bwegoge kupitia kwa wakili wake, Mohamed Majaliwa na kuiomba mahakama kesi ya mauaji namba 5 ya mwaka 2022 iliyopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dares Salaam kuwa ina upungufu kisheria.

Majaliwa alidai kuwa mteia wake anashtakiwa kwa kosa la mauaji mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Rhoda Ngimilanga wa Mahakama ya Kisutu, alidai shauri hilo linaonekana jipya, lakini kiuhalisia sio jipya kwa sababu kesi ya mauaji namba 4, 2019 dhidi ya mshtakiwa ilishaisha.

Alidai kuwa mashtaka yaliyokuwapo kwenye hati hiyo yalipita katika hatua zote za kisheria, Oktoba 24, 2022 kesi illitwa kwa ajili ya kusikilizwa na upande wa mashtaka ulikuwa a mashahidi wanne.

Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mwasiti Ally, alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Yusto Ruboroga wa Mahakama ya Kisutu kuwa kesi ililetwa kwa ajili ya kusikilizwa, lakini Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya mshtakiwa.

Majaliwa alidai kutokana na kuomba kuondolewa kwa kesi hiyo, Hakimu Ruboroga alimwachia Luwonga, lakini cha kushangaza mshtakiwa alikamatwa tena na askari na baada ya saa chache alipandishwa tena kizimbani na kusomewa mashtaka yale yale.

"Chakushangaza Mwasiti huyo huyo aliyeomba kesi namba 4, 2019 kuondolewa ndiyo aliyemsomea mashtaka mapya mshtakiwa na kudai upelelezi bado haujakamilika, kwa hiyo mahakama ikatoa amri ya Luwonga kurdishwa rumande.

"Hadi sasa hivi jalada lililokuwa mbele yako linaonesha upelelezi bado haujakamilika ni rai yetu kwamba mashtaka haya mapya ni batili mbele yako kwa sababu yanakiuka sheria," alidai Majaliwa.

Alidai sheria imetoa utaratibu kama mtu akiachiwa na serikali ikataka kumshtaki tena basi ni lazima kuwapo na ushahidi wa kutosha na usikilizwaji wake uanze mara moja, lakini katika kesi hiyo hilo halikuzingatiwa.

Ukijibu hoja hizo, upande wa mashtaka ulidai kuwa mahakama hiyo imefungwa mikono kutoa amri kwenye amri ambazo hazijafika mwisho.

Katika hoja ya kuachiwa kwa mshtakiwa, upande huo ulidai kuwa hoja hiyo inakizana na matakwa ya kisheria na pia taratibu za kisheria bado hazijakamilika kwa sababu kesi bado haiiafika Mahakama Kuu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa.

Baada ya Jaji kusikilizwa hoja za pande zote mbili ameahirisha maombi hayo hadi Aprili 18, 2023 kwa ajili ya uamuzi. Pia mshtakiwa anatetewa na Zidadi Mikidadi na Fatuma Abdul.

Luwonga amefungua maombi Mahakama Kuu ili wapate maelezo ya uhalali wa kesi namba 5, 2022 ya mauaji baada ya kesi ya awali ya kufutwa a kufunguliwa upya.

Katika kesi hiyo ya mauaji, mshtakiwa Luwonga ambaye ni mkazi wa Kigamboni, Dares Salaam anadaiwa Mei 15, 2019 akiwa Gezaulole eneo la Kigamboni alimuua Naomi Marijani.

Anadaiwa kumuua mke wake Naomi kisha kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa na kuchukua majivu ya marehemu a kwenda kuyafukia shambani kwake.

Chanzo: Nipashe
 
Duuhh kwamba Mke ajiua, akajichoma ,ajitia kwenye gunia, akajipeleka shamban, akajichimbia shimo, akajizika, juu yake akajipandia Mgomba 🤣🤣.

Tnzania ya Samia, Hata Jumanne yule Tajiri wa Mwanza, siyupo huru
Chief...Mahakama ni mpaka i-prove beyond reasonable doubt - ndio inaweza kumhukumu mtu kwenda jela...Hapo ndio kwenye tatizo. Ikihukumu hovyo hovyo - hata wewe siku moja utajikuta jela.
 
Mkuu masuala ya sheria siyajui.

Sasa mfano, nyie ni mapolisi, mmemshika mtu red handed anamalizia kuua.

Mmepeleka mahakamani, mizunguko yann ?
 
Duuhh kwamba Mke ajiua, akajichoma ,ajitia kwenye gunia, akajipeleka shamban, akajichimbia shimo, akajizika, juu yake akajipandia Mgomba 🤣🤣.

Tnzania ya Samia, Hata Jumanne yule Tajiri wa Mwanza, siyupo huru
je ni yeye ndiye aliyemuua? kwani hawezi kuuliwa huko akazikwa hapo kwake?
 
Mkuuu Mpaka Polisi wanakufatlia na kukamata sio kazi ya kukurupuka .( Achana na habari za polisi kutunga kesi).

Polisi Tanzania wanaofanya kazi nzuri
 
Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa, ameiomba Mahakama Kuu imuachie huru kwa sababu hadi sasa hakuna ushahidi wa kutosha wa kumshtaki.

Luwonga aliwasilisha ombi hilo jana mbele ya Jaji Obadia Bwegoge kupitia kwa wakili wake, Mohamed Majaliwa na kuiomba mahakama kesi ya mauaji namba 5 ya mwaka 2022 iliyopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dares Salaam kuwa ina upungufu kisheria.

Majaliwa alidai kuwa mteia wake anashtakiwa kwa kosa la mauaji mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Rhoda Ngimilanga wa Mahakama ya Kisutu, alidai shauri hilo linaonekana jipya, lakini kiuhalisia sio jipya kwa sababu kesi ya mauaji namba 4, 2019 dhidi ya mshtakiwa ilishaisha.

Alidai kuwa mashtaka yaliyokuwapo kwenye hati hiyo yalipita katika hatua zote za kisheria, Oktoba 24, 2022 kesi illitwa kwa ajili ya kusikilizwa na upande wa mashtaka ulikuwa a mashahidi wanne.

Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mwasiti Ally, alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Yusto Ruboroga wa Mahakama ya Kisutu kuwa kesi ililetwa kwa ajili ya kusikilizwa, lakini Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya mshtakiwa.

Majaliwa alidai kutokana na kuomba kuondolewa kwa kesi hiyo, Hakimu Ruboroga alimwachia Luwonga, lakini cha kushangaza mshtakiwa alikamatwa tena na askari na baada ya saa chache alipandishwa tena kizimbani na kusomewa mashtaka yale yale.

"Chakushangaza Mwasiti huyo huyo aliyeomba kesi namba 4, 2019 kuondolewa ndiyo aliyemsomea mashtaka mapya mshtakiwa na kudai upelelezi bado haujakamilika, kwa hiyo mahakama ikatoa amri ya Luwonga kurdishwa rumande.

"Hadi sasa hivi jalada lililokuwa mbele yako linaonesha upelelezi bado haujakamilika ni rai yetu kwamba mashtaka haya mapya ni batili mbele yako kwa sababu yanakiuka sheria," alidai Majaliwa.

Alidai sheria imetoa utaratibu kama mtu akiachiwa na serikali ikataka kumshtaki tena basi ni lazima kuwapo na ushahidi wa kutosha na usikilizwaji wake uanze mara moja, lakini katika kesi hiyo hilo halikuzingatiwa.

Ukijibu hoja hizo, upande wa mashtaka ulidai kuwa mahakama hiyo imefungwa mikono kutoa amri kwenye amri ambazo hazijafika mwisho.

Katika hoja ya kuachiwa kwa mshtakiwa, upande huo ulidai kuwa hoja hiyo inakizana na matakwa ya kisheria na pia taratibu za kisheria bado hazijakamilika kwa sababu kesi bado haiiafika Mahakama Kuu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa.

Baada ya Jaji kusikilizwa hoja za pande zote mbili ameahirisha maombi hayo hadi Aprili 18, 2023 kwa ajili ya uamuzi. Pia mshtakiwa anatetewa na Zidadi Mikidadi na Fatuma Abdul.

Luwonga amefungua maombi Mahakama Kuu ili wapate maelezo ya uhalali wa kesi namba 5, 2022 ya mauaji baada ya kesi ya awali ya kufutwa a kufunguliwa upya.

Katika kesi hiyo ya mauaji, mshtakiwa Luwonga ambaye ni mkazi wa Kigamboni, Dares Salaam anadaiwa Mei 15, 2019 akiwa Gezaulole eneo la Kigamboni alimuua Naomi Marijani.

Anadaiwa kumuua mke wake Naomi kisha kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa na kuchukua majivu ya marehemu a kwenda kuyafukia shambani kwake.

Chanzo: Nipashe

Huyu Hakimu mtu wa Haki sana, Akiachiwq itakuwa halali na akifungwa itakuwa halali, huyu Jamaa hapindishi kitu, haipo kwenye DNA.
 
Mkuuu Mpaka Polisi wanakufatlia na kukamata sio kazi ya kukurupuka .( Achana na habari za polisi kutunga kesi).

Polisi Tanzania wanaofanya kazi nzuri
sijakataa ila katika utetezi wake polisi hawawezi kutoa huo ushahidi maana najua 1005 hakuna aliyemuona anazikwa hapo. yote ni maneno ya kusikia tu kitu ambacho mahakama inaweza kukataa hayo maelezo na kama mashtakiwa yupo vizuri hiyo kesi anashinda kirahisii sana
 
Tutajuaje kama hawakugombana kama Lulu alivyogombana na Kanumba? Ila huyu alienda mbali zaidi kuficha ushahidi, angewaeleza tu kwamba alipandwa na hasira akampiga, na bila kutegemea akafariki, adhabu si kali kama ile ya kuua kwa kukusudia
 
sijakataa ila katika utetezi wake polisi hawawezi kutoa huo ushahidi maana najua 1005 hakuna aliyemuona anazikwa hapo. yote ni maneno ya kusikia tu kitu ambacho mahakama inaweza kukataa hayo maelezo na kama mashtakiwa yupo vizuri hiyo kesi anashinda kirahisii sana
Aliyewapeleka polisi huko shambani ni mshtakiwa baada ya kibano
 
Mfanyabiashara Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa, ameiomba Mahakama Kuu imuachie huru kwa sababu hadi sasa hakuna ushahidi wa kutosha wa kumshtaki.

Luwonga aliwasilisha ombi hilo jana mbele ya Jaji Obadia Bwegoge kupitia kwa wakili wake, Mohamed Majaliwa na kuiomba mahakama kesi ya mauaji namba 5 ya mwaka 2022 iliyopo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dares Salaam kuwa ina upungufu kisheria.

Majaliwa alidai kuwa mteia wake anashtakiwa kwa kosa la mauaji mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Rhoda Ngimilanga wa Mahakama ya Kisutu, alidai shauri hilo linaonekana jipya, lakini kiuhalisia sio jipya kwa sababu kesi ya mauaji namba 4, 2019 dhidi ya mshtakiwa ilishaisha.

Alidai kuwa mashtaka yaliyokuwapo kwenye hati hiyo yalipita katika hatua zote za kisheria, Oktoba 24, 2022 kesi illitwa kwa ajili ya kusikilizwa na upande wa mashtaka ulikuwa a mashahidi wanne.

Wakili wa Serikali Mwandamizi, Mwasiti Ally, alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Yusto Ruboroga wa Mahakama ya Kisutu kuwa kesi ililetwa kwa ajili ya kusikilizwa, lakini Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), hana nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya mshtakiwa.

Majaliwa alidai kutokana na kuomba kuondolewa kwa kesi hiyo, Hakimu Ruboroga alimwachia Luwonga, lakini cha kushangaza mshtakiwa alikamatwa tena na askari na baada ya saa chache alipandishwa tena kizimbani na kusomewa mashtaka yale yale.

"Chakushangaza Mwasiti huyo huyo aliyeomba kesi namba 4, 2019 kuondolewa ndiyo aliyemsomea mashtaka mapya mshtakiwa na kudai upelelezi bado haujakamilika, kwa hiyo mahakama ikatoa amri ya Luwonga kurdishwa rumande.

"Hadi sasa hivi jalada lililokuwa mbele yako linaonesha upelelezi bado haujakamilika ni rai yetu kwamba mashtaka haya mapya ni batili mbele yako kwa sababu yanakiuka sheria," alidai Majaliwa.

Alidai sheria imetoa utaratibu kama mtu akiachiwa na serikali ikataka kumshtaki tena basi ni lazima kuwapo na ushahidi wa kutosha na usikilizwaji wake uanze mara moja, lakini katika kesi hiyo hilo halikuzingatiwa.

Ukijibu hoja hizo, upande wa mashtaka ulidai kuwa mahakama hiyo imefungwa mikono kutoa amri kwenye amri ambazo hazijafika mwisho.

Katika hoja ya kuachiwa kwa mshtakiwa, upande huo ulidai kuwa hoja hiyo inakizana na matakwa ya kisheria na pia taratibu za kisheria bado hazijakamilika kwa sababu kesi bado haiiafika Mahakama Kuu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa.

Baada ya Jaji kusikilizwa hoja za pande zote mbili ameahirisha maombi hayo hadi Aprili 18, 2023 kwa ajili ya uamuzi. Pia mshtakiwa anatetewa na Zidadi Mikidadi na Fatuma Abdul.

Luwonga amefungua maombi Mahakama Kuu ili wapate maelezo ya uhalali wa kesi namba 5, 2022 ya mauaji baada ya kesi ya awali ya kufutwa a kufunguliwa upya.

Katika kesi hiyo ya mauaji, mshtakiwa Luwonga ambaye ni mkazi wa Kigamboni, Dares Salaam anadaiwa Mei 15, 2019 akiwa Gezaulole eneo la Kigamboni alimuua Naomi Marijani.

Anadaiwa kumuua mke wake Naomi kisha kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa na kuchukua majivu ya marehemu a kwenda kuyafukia shambani kwake.

Chanzo: Nipashe
mambo mengine siyo ya kusubili mtu mpk afungwe ndo muone haki imetendeka,haki imetendeka wakati mtu kakuulia ndugu!!!SOMA ALBADILI FYEKELEA MBAALI
 
Back
Top Bottom