Aliyeshtakiwa kuua mke kwa kumchoma moto aomba mahakama imwachie huru

Aliyeshtakiwa kuua mke kwa kumchoma moto aomba mahakama imwachie huru

Mkuu masuala ya sheria siyajui.

Sasa mfano, nyie ni mapolisi, mmemshika mtu red handed anamalizia kuua.


Mmepeleka mahakamani, mizunguko yann ?
Hao polisi wanatakiwa kuithibitishia mahakama kwamba huyo mtu ndiye aliyehusika kuua maana mahakama haikuwepo eneo la tukio, na halafu pia huenda polisi wanambambikia kesi huyo mtu so unahitajika ushahidi usioacha mashaka hata tone
 
Mkuuu Mpaka Polisi wanakufatlia na kukamata sio kazi ya kukurupuka .( Achana na habari za polisi kutunga kesi).


Polisi Tanzania wanaofanya kazi nzuri
Ndiyo waithibitishie mahakama kwamba huyu ndiye mhusika sasa vinginevyo ataachiwa huru Kwa kukosekana ushahidi, kumbuka yule dada wa Arusha aliyesemekana kumuua mama yake aliachiwa huru baada ya kukosekana ushahidi wa kutosha
 
mambo mengine siyo ya kusubili mtu mpk afungwe ndo muone haki imetendeka,haki imetendeka wakati mtu kakuulia ndugu!!!SOMA ALBADILI FYEKELEA MBAALI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UKIWAONA DITOPILE MZUZURI
 
Mahakama itathibitishaje? Shida ithibitike anaweza kusema nilipigwa nikapelekwa hapo mm nilikuwa sijui chochote. Labda kama walimrekodi video akisema naenda kuwaonyesha
DNA test ya majivu itasema Ukweli,hawa watu wetu wa intelligence wangekua serious Kama wanavyoshughulikia Mambo ya kisiasa,wangepata uthibitosho huo.
 
DNA test ya majivu itasema Ukweli,hawa watu wetu wa intelligence wangekua serious Kama wanavyoshughulikia Mambo ya kisiasa,wangepata uthibitosho huo.
Ila ndio hawawezi Mkuu, wangekuwa seriously jamaa ingetakiwa Leo awe ameshafungwa
 
Back
Top Bottom