DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Mahakama itathibitishaje? Shida ithibitike anaweza kusema nilipigwa nikapelekwa hapo mm nilikuwa sijui chochote. Labda kama walimrekodi video akisema naenda kuwaonyeshaAliyewapeleka polisi huko shambani ni mshtakiwa baada ya kibano
Tz ya Maggu mdogo ake Rostam outDuuhh kwamba Mke ajiua, akajichoma ,ajitia kwenye gunia, akajipeleka shamban, akajichimbia shimo, akajizika, juu yake akajipandia Mgomba 🤣🤣.
Tnzania ya Samia, Hata Jumanne yule Tajiri wa Mwanza, siyupo huru
Refer kes ya mdogoake Rostam kipind cha diktetaMkuu masuala ya sheria siyajui.
Sasa mfano, nyie ni mapolisi, mmemshika mtu red handed anamalizia kuua.
Mmepeleka mahakamani, mizunguko yann ?
Kichwa cha habari ni uongo, hakumuua kwa kumchoma moto, bali alimchoma moto baada ya kumuua, vilaza mmejaa sana hii nchi
Hapana, wewe ndio umesemaYani kwa hayo maandishi unajiona mwerevu?
Hahahahahah 🤣🤣🤣
Hao polisi wanatakiwa kuithibitishia mahakama kwamba huyo mtu ndiye aliyehusika kuua maana mahakama haikuwepo eneo la tukio, na halafu pia huenda polisi wanambambikia kesi huyo mtu so unahitajika ushahidi usioacha mashaka hata toneMkuu masuala ya sheria siyajui.
Sasa mfano, nyie ni mapolisi, mmemshika mtu red handed anamalizia kuua.
Mmepeleka mahakamani, mizunguko yann ?
Ndiyo waithibitishie mahakama kwamba huyu ndiye mhusika sasa vinginevyo ataachiwa huru Kwa kukosekana ushahidi, kumbuka yule dada wa Arusha aliyesemekana kumuua mama yake aliachiwa huru baada ya kukosekana ushahidi wa kutoshaMkuuu Mpaka Polisi wanakufatlia na kukamata sio kazi ya kukurupuka .( Achana na habari za polisi kutunga kesi).
Polisi Tanzania wanaofanya kazi nzuri
Ndio hao polisi waithibitishie mahakama sasa na wakishindwa anaachiwa huruAliyewapeleka polisi huko shambani ni mshtakiwa baada ya kibano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UKIWAONA DITOPILE MZUZURImambo mengine siyo ya kusubili mtu mpk afungwe ndo muone haki imetendeka,haki imetendeka wakati mtu kakuulia ndugu!!!SOMA ALBADILI FYEKELEA MBAALI
DNA test ya majivu itasema Ukweli,hawa watu wetu wa intelligence wangekua serious Kama wanavyoshughulikia Mambo ya kisiasa,wangepata uthibitosho huo.Mahakama itathibitishaje? Shida ithibitike anaweza kusema nilipigwa nikapelekwa hapo mm nilikuwa sijui chochote. Labda kama walimrekodi video akisema naenda kuwaonyesha
Ila ndio hawawezi Mkuu, wangekuwa seriously jamaa ingetakiwa Leo awe ameshafungwaDNA test ya majivu itasema Ukweli,hawa watu wetu wa intelligence wangekua serious Kama wanavyoshughulikia Mambo ya kisiasa,wangepata uthibitosho huo.