Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nyonyo bado saa sita au kusimama kwake mpk ukienda kisimani?
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nyonyo bado saa sita au kusimama kwake mpk ukienda kisimani?
Aisee !!!!!Mambo zenu?
Mimi ninahitaji kutulia sana.
nasema kutulizwa sio kuumizwa kama unajijua wewe ni unajua kujali Naumetulia
unahitaji kupendwa nakuishi na mtu mwaminifu bila stress basi huu uzi unakuhusu but kama hujatulia usije .
mimi napendelea mwanaume awe handsome hata akivaa nguo anapendeza.
hapa ni single tu nawatafuta.
awe mrefu wa wastani sio mfupi awe muelewa.
msomi kuanzia degree nakuendelea ajipendee kabisaa sio awe mchafu mchafu.
apende maendeleo walevi siwataki,malaya no,wambeya hapana.
bongo movie wale yaani wao nikuact maisha no.
nahitaji uwe mkweli.
uwe unawaza vitu vyakujenga sio kulalana tu.
miaka 33-36.
KAMA UPO SERIOUS NJOO UNIPM KAMA HAUPO SERIOUS USIJEE.
kamaMkuu hili tangazo apunguze vigezo nichukue jiko
Hujibutena watu unajibu pm???, huko pm unakojibu siwatu pia au.ni hivi siongeagi mambo mengi aliyeserous atakuja hapa ndiye nimemaliza sina hata shida eti mtaongea mpaka anayetaka kutulia nitamwona for now no comment.
mimi ni mtu mzima najitambua so kama unanijitambua basii sijibu tena watu najibu tu pm.
hahahaTafuta uzi huku kuna mwenzako naye anatafuta mke,nadhani sifa zinaendana,na ukizingatia wote ni wageni mmeingia pamoja Jana!
Hahahahahaaaa MkuuMimi siko SEROUS Niko SERENGETI vip tunaweza kuendana?.
Huyu ana stress ngoja apambane na haliyake.Kwajeuri hii na maneno yasio hekma, wewe hufai kua mke hata kwa kupewa bure aiseeeee
News Alert: - Serious Iam looking for a wifeni hivi siongeagi mambo mengi aliyeserous atakuja hapa ndiye nimemaliza sina hata shida eti mtaongea mpaka anayetaka kutulia nitamwona for now no comment.
mimi ni mtu mzima najitambua so kama unanijitambua basii sijibu tena watu najibu tu pm.
Hahahaha MKUU hawa mabinti wanatupa tabu kwel kwel, yaan hata neno SERIOUS anashindwa kuandika halafu anatak mwanamme DEGREE,MASTERS & PHD HOLDERS, kwel?.Hahahahahaaaa Mkuu
Naunga mkono hojaHuyu ana stress ngoja apambane na haliyake.
Dgreekama
Hahahaaaa!!!Kwajeuri hii na maneno yasio hekma, wewe hufai kua mke hata kwa kupewa bure aiseeeee
Kama nakuona ulivyo chukia kwa kauli mbovuKwajeuri hii na maneno yasio hekma, wewe hufai kua mke hata kwa kupewa bure aiseeeee
Njoo kwa ID yako iliyozoelekaMambo zenu?
Mimi ninahitaji kutulia sana.
nasema kutulizwa sio kuumizwa kama unajijua wewe ni unajua kujali Naumetulia
unahitaji kupendwa nakuishi na mtu mwaminifu bila stress basi huu uzi unakuhusu but kama hujatulia usije .
mimi napendelea mwanaume awe handsome hata akivaa nguo anapendeza.
hapa ni single tu nawatafuta.
awe mrefu wa wastani sio mfupi awe muelewa.
msomi kuanzia degree nakuendelea ajipendee kabisaa sio awe mchafu mchafu.
apende maendeleo walevi siwataki,malaya no,wambeya hapana.
bongo movie wale yaani wao nikuact maisha no.
nahitaji uwe mkweli.
uwe unawaza vitu vyakujenga sio kulalana tu.
miaka 33-36.
KAMA UPO SERIOUS NJOO UNIPM KAMA HAUPO SERIOUS USIJEE.
Kesho atapunguza atasema natafuta alie tayari kuoa tuHahah! Kweli vigezo vimekua vingi saana mkuu apinguze ata umri huo