Aliyetayari kutulia kuitwa mume wa mtu aje hapa

Aliyetayari kutulia kuitwa mume wa mtu aje hapa

Hizi siledi zimekua nyingi..hali ni mbaya sana sikuhizi,
 
Swala n kumuunga Mkono mtoa Uzi atapata vipi mwenza wake, amejitoa kimasomaso ingependeza na sis wanaume tujitoe kindakindaki, eenh

Bas akikosa mume,apate ata wakumtindua na maisha yaende sio tunaishia kumchambua tuuu
 
Huyu bibie atakua na stress zake huko, na kimsingi ukiyasoma maandishi yake utagundua kwamba amejeruhiwa na sasa anahitaji faraja kama binadamu, ingawa haonekani kama yupo tayari kupnda kwa sasa zaidi ya kuumizwa na upweke tu
Wakumpa faraja tupo ila tatizo masharti aliyo weka na majibu jeuli

Unajua hawa dada zetu wakiumizwa ndo wanakuwa na majibu hayo
 
Huyu bibie atakua na stress zake huko, na kimsingi ukiyasoma maandishi yake utagundua kwamba amejeruhiwa na sasa anahitaji faraja kama binadamu, ingawa haonekani kama yupo tayari kupnda kwa sasa zaidi ya kuumizwa na upweke tu
sijaumizwa mbondei miye sina kasoro napia kwetu nimekuzwa kujali mme nitakayempata sijaumizwa kwa maana wala sijawahi kuliwa ovyo .
so nimetaka kutulia nimeshauriwa hapa.
sijui kuandika serious hii hapo acheni utoto.
kueni for ones
 
Basi jibu PM yangu ili tuyajenge, maana namimi natafuta toto la kibondei lenye malezi ya kumtii mume mwenye tabia kama zangu....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kuna jamaa anaitwa @akauntant2018 kaanzisha uzi naona mnaendana.
 
Back
Top Bottom