Aliyetayari kutulia kuitwa mume wa mtu aje hapa

Unavigezo utafikiri mwenyewe dhahabu, kumbe ni by products zilizo achwa na wanaume wengine.

Peleka stress zako huko, wanaume wa JF hatupendi makombo
 
Cheka tu. Hahahaaaaa.
 
"msomi kuanzia degree nakuendelea"
Unalimpaje kwa mwezi?
 
ni hivi siongeagi mambo mengi aliyeserous atakuja hapa ndiye nimemaliza sina hata shida eti mtaongea mpaka anayetaka kutulia nitamwona for now no comment.
mimi ni mtu mzima najitambua so kama unanijitambua basii sijibu tena watu najibu tu pm.
Hahaha eti mtu mzima unajitambua hahahahaha

Bibi una stress za kutosha wee endelea tu.
 
Dada angu,

Hapo kwenye
"awe na Degree"

Ndipo mnapokosea sana.

HATA SIKU MOJA, DEGREE HAITUNZI MKE.

MOYO,AKILI NA UPENDO WA MTU UTAYADUMISHA MAHUSIANO.

Nna imani hata,
Bibi&Babu yako, Mama&Baba yako.

Hawana hizo degree ila waliweza kuoana na kulea familia mpk wewe ukazaliwa,ukakua na ukapata elimu bora.

**BADILIKA DADA ANGU***
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…