Aliyetayari kutulia kuitwa mume wa mtu aje hapa

Aliyetayari kutulia kuitwa mume wa mtu aje hapa

Unavigezo utafikiri mwenyewe dhahabu, kumbe ni by products zilizo achwa na wanaume wengine.

Peleka stress zako huko, wanaume wa JF hatupendi makombo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee!!
Cheka tu. Hahahaaaaa.
 
Mambo zenu?
Mimi ninahitaji kutulia sana.
nasema kutulizwa sio kuumizwa kama unajijua wewe ni unajua kujali Naumetulia
unahitaji kupendwa nakuishi na mtu mwaminifu bila stress basi huu uzi unakuhusu but kama hujatulia usije .
mimi napendelea mwanaume awe handsome hata akivaa nguo anapendeza.
hapa ni single tu nawatafuta.
awe mrefu wa wastani sio mfupi awe muelewa.
msomi kuanzia degree nakuendelea ajipendee kabisaa sio awe mchafu mchafu.
apende maendeleo walevi siwataki,malaya no,wambeya hapana.
bongo movie wale yaani wao nikuact maisha no.
nahitaji uwe mkweli.
uwe unawaza vitu vyakujenga sio kulalana tu.
miaka 33-36.
KAMA UPO SERIOUS NJOO UNIPM KAMA HAUPO SERIOUS USIJEE.
"msomi kuanzia degree nakuendelea"
Unalimpaje kwa mwezi?
 
ni hivi siongeagi mambo mengi aliyeserous atakuja hapa ndiye nimemaliza sina hata shida eti mtaongea mpaka anayetaka kutulia nitamwona for now no comment.
mimi ni mtu mzima najitambua so kama unanijitambua basii sijibu tena watu najibu tu pm.
Hahaha eti mtu mzima unajitambua hahahahaha

Bibi una stress za kutosha wee endelea tu.
 
Dada angu,

Hapo kwenye
"awe na Degree"

Ndipo mnapokosea sana.

HATA SIKU MOJA, DEGREE HAITUNZI MKE.

MOYO,AKILI NA UPENDO WA MTU UTAYADUMISHA MAHUSIANO.

Nna imani hata,
Bibi&Babu yako, Mama&Baba yako.

Hawana hizo degree ila waliweza kuoana na kulea familia mpk wewe ukazaliwa,ukakua na ukapata elimu bora.

**BADILIKA DADA ANGU***
 
Back
Top Bottom