Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante love bPole Davet
[emoji23][emoji23][emoji23]Huu uzi wakikutana Hajar na familia yake ya bandia naona utavurugwa mda si mrefu.
Hajar (dah hili jina sijalipenda) mambo?Hahahaaaa. Lol.
Hahaaa. Lizowee bana. Mbona zuri tu.Hajar (dah hili jina sijalipenda) mambo?
Mambo ni poa kabisaHahaaa. Lizowee bana. Mbona zuri tu.
Poa kabisa. Niaje aisee?
Hahahaaaa. Nimecheka sana ujue rafiki. Sijui Shida na raha kawaza nini aisee.
Cheka tu. Hahahaaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee!!
Sawa nimefurahi kukuona Mangi.Mambo ni poa kabisa
"msomi kuanzia degree nakuendelea"Mambo zenu?
Mimi ninahitaji kutulia sana.
nasema kutulizwa sio kuumizwa kama unajijua wewe ni unajua kujali Naumetulia
unahitaji kupendwa nakuishi na mtu mwaminifu bila stress basi huu uzi unakuhusu but kama hujatulia usije .
mimi napendelea mwanaume awe handsome hata akivaa nguo anapendeza.
hapa ni single tu nawatafuta.
awe mrefu wa wastani sio mfupi awe muelewa.
msomi kuanzia degree nakuendelea ajipendee kabisaa sio awe mchafu mchafu.
apende maendeleo walevi siwataki,malaya no,wambeya hapana.
bongo movie wale yaani wao nikuact maisha no.
nahitaji uwe mkweli.
uwe unawaza vitu vyakujenga sio kulalana tu.
miaka 33-36.
KAMA UPO SERIOUS NJOO UNIPM KAMA HAUPO SERIOUS USIJEE.
Hahaha eti mtu mzima unajitambua hahahahahani hivi siongeagi mambo mengi aliyeserous atakuja hapa ndiye nimemaliza sina hata shida eti mtaongea mpaka anayetaka kutulia nitamwona for now no comment.
mimi ni mtu mzima najitambua so kama unanijitambua basii sijibu tena watu najibu tu pm.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyonyo bado saa sita au kusimama kwake mpk ukienda kisimani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]"msomi kuanzia degree nakuendelea"
Unalimpaje kwa mwezi?