Yaani kila kitu lazima lifanyiwe! Hatuna mtu pale juu!Tunaposema kwamba CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa , haiwezekani mtu atenguliwe kwenye U DC mwezi July na kuchafuliwa kila kona , halafu huyo huyo arejeshwe tena baada ya miezi miwili tu !
Hii maana yake ni kwamba nyie wapiga kelele humu JF mkiongozwa na johnthebaptist na mchumia tumbo Lucas mwashambwa hamufai hata kwa kulumangia , nyinyi mtabaki kusifia mauzo ya bandari tu.
Siwahurumii hata kidogo Wajinga wakubwa nyie !!!
View attachment 2759472
Umewaharibia weekendnimewapiga za uso .
Umeua mbaya mkuu acha tupigwe maigizo hadi tukome.nimewapiga za uso .
Rais nae pia Hana kumbukumbu?!Kutakuwa na shida katika taasisi ya uteuzi, nazo ni:
1. Wateule kutumbuliwa kwa kuonewa hivyo baada ya uchunguzi wa kina huonekana hawana hatia
2. Taasisi haina kumbukumbu juu ya waliotumbuliwa jana
3. Ndani ya CCM hakuna wenye uwezo zaidi ya wale wanaotumbuliwa na kurudishwa kila baada ya miezi miwili mf Mwanahamis.
4. Wenye michepuko yao, watoto, ndugu na rafiki zao wana ushawishi zaidi ndani ya mamlaka ya uteuzi. Hawa ndio watumbuliwe au sitaafishwa utumishi mara moja
Hii maana yake ni kwamba nyie wapiga kelele humu JF mkiongozwa na johnthebaptist na mchumia tumbo Lucas mwashambwa hamufai hata kwa kulumangia , nyinyi mtabaki kusifia mauzo ya bandari tu.[emoji1787]Tunaposema kwamba CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa , haiwezekani mtu atenguliwe kwenye U DC mwezi July na kuchafuliwa kila kona , halafu huyo huyo arejeshwe tena baada ya miezi miwili tu !
Hii maana yake ni kwamba nyie wapiga kelele humu JF mkiongozwa na johnthebaptist na mchumia tumbo Lucas mwashambwa hamufai hata kwa kulumangia , nyinyi mtabaki kusifia mauzo ya bandari tu.
Siwahurumii hata kidogo Wajinga wakubwa nyie !!!
View attachment 2759472
sema hawanaga aibuUmewaharibia weekend
Walikwepo watu mashuhuri humu lakini licha ya kuipigia debe chama wakaona hawakumbukwi wakaamua kususa.Aiseeeee !!
DC aliyevamia nyumba iliyokuwa inaiba mafuta Kigamboni halafu akawa hayuko well informedWho's she?
Mtalia sana mwaka huu , endeleeni kutumika , Chawa nyie !It's just unfair.
Kwamba hamna watu wengine ambao wanaweza kuwa ma DC?.
Au yeye ni very potential?.
ππππDC aliyevamia nyumba iliyokuwa inaiba mafuta Kigamboni halafu akawa hayuko well informed
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Naona ameshakata TamaaIna maana ndugu Lucas mwashambwa pamoja na kila thread zake kuweka namba za simu bado wakubwa hawamuoni tu? [emoji15][emoji15][emoji15]
Yes, kwa vile hutenguliwa kwa majungu tu, hata JK aliwahi kuisemea hiyo.Happens Only In TZ !!!! (INCREDIBLE TZ) !!!!
23 September 2023 amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Aidha aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO ....
Itakuwa bidada kaenda kumlilia mchepuko wake huku akimpa nyapu kwa mbali ndiyo maana amerudushwaWenye michepuko yao,
Daaah !!!Mambo yanaenda kwa spidi sana, hata barua ya uteuzi mteuliwa aliyekuwa balozi meja jenerali hajatajwa kwa cheo hicho cha ziada cha kibalozi
22 May 2023
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI wa MABALOZI NANE, JENERALI MWAISAKA, JENERALI SIMULI, BYAKANWA na WENGINE
View attachment 2759523
Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ).
View: https://m.youtube.com/watch?v=5PEPm9ErW2I
Rais Samia akimuapisha Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023
Updates :
23 September 2023
hours ago β Taarifa kwa umma iliyotolewa inaeleza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO.
Alifanya sahihi ndo maana karudishwa.DC aliyevamia nyumba iliyokuwa inaiba mafuta Kigamboni halafu akawa hayuko well informed
Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni
Sent using Jamii Forums mobile app