Aliyetenguliwa Julai Temeke arejeshwa Septemba Mtwara

Tunaposema kwamba CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa , haiwezekani mtu atenguliwe kwenye U DC mwezi July na kuchafuliwa kila kona , halafu huyo huyo arejeshwe tena baada ya miezi miwili tu !

Hii maana yake ni kwamba nyie wapiga kelele humu JF mkiongozwa na johnthebaptist na mchumia tumbo Lucas mwashambwa hamufai hata kwa kulumangia , nyinyi mtabaki kusifia mauzo ya bandari tu.

Siwahurumii hata kidogo Wajinga wakubwa nyie !!!

View attachment 2759472
Yaani kila kitu lazima lifanyiwe! Hatuna mtu pale juu!
 
Yaaani nacheka tu, hivi kweli nyie hamjui agenda ya CCM? CCM agenda ni kushinda uchaguzi tu, walete maendeleo au wasilete maendeleo wao hawajari, wewe uliona wapi miaka 60 bado tuna bangaiza umeme, hapa cha msingi waza jinsi ya kupiga tu na wewe mahala ulipo, ukisubiri maendeleo Tanzania ni kujitakia pressure ya bure.
 
Kutakuwa na shida katika taasisi ya uteuzi, nazo ni:
1. Wateule kutumbuliwa kwa kuonewa hivyo baada ya uchunguzi wa kina huonekana hawana hatia
2. Taasisi haina kumbukumbu juu ya waliotumbuliwa jana
3. Ndani ya CCM hakuna wenye uwezo zaidi ya wale wanaotumbuliwa na kurudishwa kila baada ya miezi miwili mf Mwanahamis.
4. Wenye michepuko yao, watoto, ndugu na rafiki zao wana ushawishi zaidi ndani ya mamlaka ya uteuzi. Hawa ndio watumbuliwe au sitaafishwa utumishi mara moja
 
Rais nae pia Hana kumbukumbu?!
 
Tunaposema kwamba CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa , haiwezekani mtu atenguliwe kwenye U DC mwezi July na kuchafuliwa kila kona , halafu huyo huyo arejeshwe tena baada ya miezi miwili tu !

Hii maana yake ni kwamba nyie wapiga kelele humu JF mkiongozwa na johnthebaptist na mchumia tumbo Lucas mwashambwa hamufai hata kwa kulumangia , nyinyi mtabaki kusifia mauzo ya bandari tu.

Siwahurumii hata kidogo Wajinga wakubwa nyie !!!

View attachment 2759472
Hii maana yake ni kwamba nyie wapiga kelele humu JF mkiongozwa na johnthebaptist na mchumia tumbo Lucas mwashambwa hamufai hata kwa kulumangia , nyinyi mtabaki kusifia mauzo ya bandari tu.[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeee !!
Walikwepo watu mashuhuri humu lakini licha ya kuipigia debe chama wakaona hawakumbukwi wakaamua kususa.

CCM kama hauna network na hauko kwenye circle yao utaishia kuzeeka bila kupata hata UDAS hata kama unasifa stahili
 
Mambo yanaenda kwa spidi sana, hata barua ya uteuzi mteuliwa aliyekuwa balozi meja jenerali hajatajwa kwa cheo hicho cha ziada cha kibalozi

22 May 2023
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI wa MABALOZI NANE, JENERALI MWAISAKA, JENERALI SIMULI, BYAKANWA na WENGINE
1695472954111.png

Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ).
23 September 2023 amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Aidha aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO ....

View: https://m.youtube.com/watch?v=5PEPm9ErW2I

MABALOZI-7.jpg
Rais Samia akimuapisha Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023

Updates :
23 September 2023

hours ago — Taarifa kwa umma iliyotolewa inaeleza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO.
 
Mambo yanaenda kwa spidi sana, hata barua ya uteuzi mteuliwa aliyekuwa balozi meja jenerali hajatajwa kwa cheo hicho cha ziada cha kibalozi

22 May 2023
RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI wa MABALOZI NANE, JENERALI MWAISAKA, JENERALI SIMULI, BYAKANWA na WENGINE
View attachment 2759523
Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huo Meja Jenerali Simuli alikuwa Mkuu wa Utumishi Jeshini (JWTZ).

View: https://m.youtube.com/watch?v=5PEPm9ErW2I

MABALOZI-7.jpg
Rais Samia akimuapisha Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023

Updates :
23 September 2023

hours ago — Taarifa kwa umma iliyotolewa inaeleza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli kuwa Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO.

Daaah !!!
 
Back
Top Bottom