Aliyetenguliwa Julai Temeke arejeshwa Septemba Mtwara

Huyu aliombewa Msamaha
 
Vimemo na Kujuana republic.

Huyo mbwa wa shamba atasugua sana bench hajui CCM ni ukoo wa mafisi.
 
Teuzi za hovyo, huyu kalipwa mafao yote July leo anarudishwa alipwe mamilioni tena ya walipa kodi
 
Yawezekana hawana mvuto hata kidogo Kwa wana-pdf...
pdf la mrembo yuleee, ndy Kila kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waislamu wote ni ndugu.
 
Pdf ni lile lile hawaongezi wala kupunguza hata akifa watatafuta basi mdogo wake
 
Vyeo vya CCM vinahitaji Network na Kujuana, kama haupo kwenye circle yao utaendelea kulipwa buku 7 hadi Unazeeka 🙌
Akina Kipara kipya hadi wamechoka sasa wamekimbia vita.

Haiwezekani Nchi nzima lakini teuzi ni watu wale wale. Hata akifukuzwa huku wanasubiri nafasi nyingine wampeleke kule as if hakuna watu wengine.

Cc Maharage Juma Pumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…