BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Huyu aliombewa MsamahaTunaposema kwamba CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa, haiwezekani mtu atenguliwe kwenye U DC mwezi July na kuchafuliwa kila kona, halafu huyo huyo arejeshwe tena baada ya miezi miwili tu.
Hii maana yake ni kwamba nyie wapiga kelele humu JF mkiongozwa na johnthebaptist na mchumia tumbo Lucas mwashambwa hamufai hata kwa kulumangia, nyinyi mtabaki kusifia mauzo ya bandari tu.
Siwahurumii hata kidogo nyie.
View attachment 2759472