Aliyeteuliwa kama mbadala wa mkuu wa majeshi ya Iran naye aliuwa, itangazeni hiyo nafasi upya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira....

Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake
====================

The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam al-Anbiya Headquarters commander Maj.-Gen. Ali Shademani only days after it assassinated his predecessor, Gholam Ali Rashid, this past Friday.

Shademani's position made him Iran's "War-Time Chief of Staff, the most senior military commander, and the closest figure to Iranian Supreme Leader Ali Khamenei," the IDF stated.

Khatam al-Anbiya is "responsible for managing combat operations and approving Iran’s firepower plans. In his various roles, he directly influenced Iran’s operational plans targeting the State of Israel," they added.

Uislam umeshika tamaraki Iran so nchi nzima inachuki na Wayahudi wanataka kuangamiza Taifa teule, walidhani ni warahisi Hamas wamempomza Ayatollah, Israel wanamfanyia Jeuri na yeye anawafanyia makusudi kipondo tu
 
Iran huwenda ina mapandikizi na mashushushu wa kizayuni wengi na wapo humo jeshini

Mbona ni kama inakuwa rahisi vile kuwauwa viongozi wa kijeshi?

Israel ni hatari zaidi ya hata USA

Ni mahali gani US amefanya vita akala vichwa vya viongozi wa nchi kwa haraka kama anavyofanya Myahudi?

Najiuliza maswali tu wakuu
 
Kila anayechukua huo wadhifa analiwa, tangazeni hiyo nafasi tena, wanawahishwa kwa mabikira....

Ayatollah tunamsaza tu ili atie saini mkataba wa kuisahau nyuklia, la sivyo tungekua tushamla na lile gauni lake
====================

The IDF on Tuesday assassinated the replacement Iranian Khatam al-Anbiya Headquarters commander Maj.-Gen. Ali Shademani only days after it assassinated his predecessor, Gholam Ali Rashid, this past Friday.

Shademani's position made him Iran's "War-Time Chief of Staff, the most senior military commander, and the closest figure to Iranian Supreme Leader Ali Khamenei," the IDF stated.

Khatam al-Anbiya is "responsible for managing combat operations and approving Iran’s firepower plans. In his various roles, he directly influenced Iran’s operational plans targeting the State of Israel," they added.

Tatizo la Iran ni wakandamizaji wa haki za binadamu
 
Iran huwenda ina mapandikizi na mashushushu wa kizayuni wengi na wapo humo jeshini

Mbona ni kama inakuwa rahisi vile kuwauwa viongozi wa kijeshi?

Israel ni hatari zaidi ya hata USA

Ni mahali gani US amefanya vita akala vichwa vya viongozi wa nchi kwa haraka kama anavyofanya Myahudi?

Najiuliza maswali tu wakuu
Inaelekea huu ni mpango wa muda mrefu ndio maana walisubiri wote wakiwa mkutanoni na 🇮🇱 na 🇺🇸 matokeo waliyatarajia ndio maana wote waliwatangazia raia wao mapema. Hii inaweza kuwa vita ya kumuondoa Ayatollah kimetafutwa chanzo tuu. Cha kusikitisha ni kwamba wanakufa watu wasio na hatia.
 
Kwa jinsi ulivyo lofa na wewe unajiona kama ni myahudi vile😀😀😀 eti.. "saa hizi tungekuwa tushamla"
matako ya bibi yako mzaa baba!!
 
Inaelekea huu ni mpango wa muda mrefu ndio maana walisubiri wote wakiwa mkutanoni na 🇮🇱 na 🇺🇸 matokeo waliyatarajia ndio maana wote waliwatangazia raia wao mapema. Hii inaweza kuwa vita ya kumuondoa Ayatollah kimetafutwa chanzo tuu. Cha kusikitisha ni kwamba wanakufa watu wasio na hatia.
Hata hapa Tanzania, watu wanaiba pesa za umma halafu akina mama wajawazito wasio na hatia wanakufa kwa kushindwa kufanyiwa operation ya 150000 tu huku wachezaji wazima wakimwagiwa mamilioni ya goli la mama. Huu nao ni uuaji tuu.
 
Iran huwenda ina mapandikizi na mashushushu wa kizayuni wengi na wapo humo jeshini

Mbona ni kama inakuwa rahisi vile kuwauwa viongozi wa kijeshi?

Israel ni hatari zaidi ya hata USA

Ni mahali gani US amefanya vita akala vichwa vya viongozi wa nchi kwa haraka kama anavyofanya Myahudi?

Najiuliza maswali tu wakuu
Soma hii
 
Attachments

  • Screenshot_20250617_123827_com.instagram.android.jpg
    Screenshot_20250617_123827_com.instagram.android.jpg
    256.7 KB · Views: 26
Back
Top Bottom