Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

Duh🤭🤭

Asante mkuu,basi hapo Kuna ulaji upande B hauko sawa.
Nchi ngumu Sana hii
 
Haswa kama UK walikuwa wanasumbuliwa na 3D ila sasa ni Legal kwa sababu wameboresha camera hakuna ujanja tena View attachment 2939110
Kuna wengine wanaweka
Mkuu,

Kimantiki una kesi kubwa sana na inayokubalika unaweza kuijenga hapo, hata kabla ya kuangalia the nitty gritty detail huko.

Haiwezekani tudanganywe 3D numbers zina tatizo kusomeka wakati tunaona hizo nchi zilizoendelea zenyewe wanazotuambia wameweka mpaka muongozo wa kuweka legal 3D numbers. Nimeweka link hapo.

Walifikiri hatutaweza hata ku Google?

Wanadanganya mpaka vitu tunavyoweza ku Google na kupata majibu ndani ya dakika tano tu.
KUNA MTU MAALUM KAMPUNI MAALUM SOON ATAANZA YEYE KUZIWEKA HIZO 3D NUMBERS PLATE
WANAZUNGUKA TU MBUYU HAO

ova
 
Wanaotengeneza number plates wamepewa tenda kihalali na wanalipia vibari vyao. Hawa wa 3D hawako kisheria. Walio lalamika ni wenye leseni halali ya kutengeneza number plates kuhusu masirahi yao.

Cameras zimesingiziwa tu kuongeza uzito.

Haina mantiki mkuu,kwani hivyo vibao vya plane si wameengenza hao waliopewa vibali? Watu wa 3D wanabandika tu hivyo vidude juu ya vibao waliotengeneza kihalali ,hao waliopewa vibali basi watengeneze vya 3D tu moja kwa moja.

Mbona mtu kibao chake kikipotea anaenda Posta tu anachonga kipya anabandika?
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom