avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaotengeneza number plates wamepewa tenda kihalali na wanalipia vibari vyao. Hawa wa 3D hawako kisheria. Walio lalamika ni wenye leseni halali ya kutengeneza number plates kuhusu masirahi yao.,inaonekana test walizozifanya kudetect namba walitumia vibao plane kwahiyo inaonekana hizo 3D zinawasumbua kudetect ,ndiyo maana nikashauri waboreshe camera zao ziwe zinauwezo pia kwa kudetect 3D.
Na ni ujinga tu wa mjini kweli wala hujakoseaNashukuru kipindi hizi 3D zimeanza sikuwa na mzuka hata kidogo pengine ni uzee ndiyo maana niliona kama ni UJINGA Tu wa mjini
Kama ukielewa vizuri na mimi nitagAkikujibu kiasi cha kila mtu akaelewa hapa.
Nitag
Number plates ni plate zinazoandikwa namba, plate number ni namba inayoandikwa kwenye plate. Sasa niambie kipi ni sahihi na kwanini?Kwanza kabisa, zinaitwa Number plates, japo tumezoea kuziita ''plate number''
Usajili wa gari ikihusisha kadi na number plate ni suala la kisheria sio maamuzi binafsi.
Sheria ina kanuni zake, ndio maana sheria inatambua
1. rangi ya number plate
2. ukubwa wa maandishi
3.'' Font type '' - aina ya mwandiko
4. material ya ile plate yenyewe
5. ukubwa wa hiyo plate
6. uwepo wa bendera ya nchi
7. uwepo wa mtengenezaji aliyeidhinishwa na TRA
Ukiweka 3-D hizi unaondoa sifa moja au zaidi za Number Plate.
Ukibandua unaharibu namba ya awali, na hapo ndipo wanapata ulaji kutengeneza mpya, ni ulaji tu wanapewa..Ulaji wa watu gani,? Mbona Watanzania vichwa panzi namna hii?Kumbuka hakuna mtu anazalisha hayo ma plastic mnayoyaita 3D from the scratch. Wanachukua hizo hizo namba za official dealer na kuziharibu kwa kuweka layer juu yake. Kumbuka wale supplier wa kutengeneza namba hawajalalamika kuwa wamepata mashindano Bali ni mamlaka zinalalamika vitu ambavyo vipo sokoni vimebadilishwa.Niambie ni nchi gani inafanys huo upuuzi? Umeanzishwa na mabishoo wachache Sasa wabongo kwa ulimbukeni wa kuiga makosa tunskimbilia vitu visivyo na masna
Ni ujinga kuwaza hivi, sheria hairuhusu 3D kwanini uweke?Hao wanaobandua kwa lazima barabarani kwa mtindo wa operesheni ni trafiki wenyewe. Kwahiyo kumbe hii ni biashara anatengenezewa mtu, si ndio?!
Aliyeharibu ni nani? Aliteye temper patent rights ya namba za awali kwa kubandika kitu ambacho ni counterfeit au aliyemshugulikia mharibifu huyo kutokuendelea kuvunja sheria za hatinmililki?Ukibandua unaharibu namba ya awali, na hapo ndipo wanapata ulaji kutengeneza mpya, ni ulaji tu wanapewa..
Kwanini isiwekwe? Ndio swali kuu, Camera ni uongo! Semeni lingineNi ujinga kuwaza hivi, sheria hairuhusu 3D kwanini uweke?
Kwanini ubandue, why?! Camera ni uongo mtupu!Aliyeharibu ni nani? Aliteye temper patent rights ya namba za awali kwa kubandika kitu ambacho ni counterfeit au aliyemshugulikia mharibifu huyo kutokuendelea kuvunja sheria za hatinmililki?
Ukiondoa 3D zikabaki kama inavyoonekana kwenye picha uliyoweka hapo unapigwa faini namba haionekani. Unatakiwa ubadilishe kibao kabisa sio kubandua, ukishindwa kutengeneza vibao vipya basi tafuta mchoraji arudishie maandishi yaonekane kwa muonekano ule ule wa masasi sign.Nimeuliza, baada ya kubandua na kufuta zile namba za awali, camera ndio zinaweza kusoma?
Ni kampuni binafsi zinapewa tenda na serikali zikifanya kazi sambamba na mamlaka ya mapato.kwani plate number za kawaida zinawekwa na seikali? sio kampuni binafisi?
Kwa nini uweke kitu ambacho ni Cha bandia?Kwanini ubandue, why?! Camera ni uongo mtupu!
It's all about money!Sasa namba zisizosomeka TRA wakizipitisha ndiyo zitasomeka?
![]()
3D Gel Number Plates - Stylish Custom Plates | Bespoke Plates
Enhance your vehicle's look with 3D Gel Number Plates from Bespoke Plates. Customisable and durable, these plates feature a sleek gel finish that adds depth, style, and a premium touch to any car.www.bespoke-plates.co.uk
Mkuu,It's all about money!
Tanzania tuna mabingwa wa kutoa matamshi yenye tahadhari na kutunga sheria wanazozivunja wenyewe alimradi pesa inaingia hazina kuu au mifukoni mwao,sasa hivi hizo namba zinawekwa na wachoraji mbalimbali mitaani hovyo so waliojipachika ukubwa wamechungulia wameona upande huo kuna shilingi wakaona waanze figisu tenda wachukue wao wapige hela.
Hao watengenezaji wa 3d wanaharibu biashara kivipi wakati Bila plate no zao hizo 3d zinawekwa wapi ? ... By the way Kwa namna moja ama nyingine 3d zimebooat Sana sokonla plate no maana hata yule mwenye plates za zamani inamlazimu kuweka Mpya ili 3d ipendeze vizuri .Hawatengenezewi, wanalindiwa biashara yao.
Ili utengeneze namba za chombo cha moto, unahitaji kibali toka mamlaka husika. Kuna makampuni tayari na hivyo vibari na wanavilipia. Kuona soko linahalibiwa na watu wasio na vibari hata wewe ungelalamika. Ila polisi wamedanganya kuhusu cameras.
Wenye Mamlaka wamekuwa na kauli mbili mbili zinazochanganya raiaIt's all about money!
Tanzania tuna mabingwa wa kutoa matamshi yenye tahadhari na kutunga sheria wanazozivunja wenyewe alimradi pesa inaingia hazina kuu au mifukoni mwao,sasa hivi hizo namba zinawekwa na wachoraji mbalimbali mitaani hovyo so waliojipachika ukubwa wamechungulia wameona upande huo kuna shilingi wakaona waanze figisu tenda wachukue wao wapige hela.
Watawalipa watu walioharibu plate number zao baada ya kubandua?Wenye Mamlaka wamekuwa na kauli mbili mbili zinazochanganya raia
Ni mastika wahuni wanabandika kwenye namba hizi za kawaida zinakua nene kidogoKwani hiyo 3D ndo maana yake Nini wadau.
Nilikuwa najua eti ni mlolongo wa usajili wa magar kulingana na namba za usajiri TRA Mfano kuanzia namba A,B,C,D,Mpaka mwaka huu naona E au imekaaje[emoji848].Elimu tafadhali kwangu,na kuulizia sio ujinga.Asanteni.[emoji120]