Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Kwani mkuu nikuulize, unapokua umeenda mahali ukaagiza kuku wa kuchoma, unaletewa mezani unataka uanze kula au ukiwa unakula anakuja yule NZI WA CHOONI, utamuacha au utamfukuza..Shida hapa ni ulaji wa watu umeingiliwa. Hakuna kingine