Aliyetoa amri ya kubandua plate number za 3D akapimwe akili

Duh🤭🤭

Asante mkuu,basi hapo Kuna ulaji upande B hauko sawa.
Nchi ngumu Sana hii
 
Haswa kama UK walikuwa wanasumbuliwa na 3D ila sasa ni Legal kwa sababu wameboresha camera hakuna ujanja tena View attachment 2939110
Kuna wengine wanaweka
KUNA MTU MAALUM KAMPUNI MAALUM SOON ATAANZA YEYE KUZIWEKA HIZO 3D NUMBERS PLATE
WANAZUNGUKA TU MBUYU HAO

ova
 
Wanaotengeneza number plates wamepewa tenda kihalali na wanalipia vibari vyao. Hawa wa 3D hawako kisheria. Walio lalamika ni wenye leseni halali ya kutengeneza number plates kuhusu masirahi yao.

Cameras zimesingiziwa tu kuongeza uzito.

Haina mantiki mkuu,kwani hivyo vibao vya plane si wameengenza hao waliopewa vibali? Watu wa 3D wanabandika tu hivyo vidude juu ya vibao waliotengeneza kihalali ,hao waliopewa vibali basi watengeneze vya 3D tu moja kwa moja.

Mbona mtu kibao chake kikipotea anaenda Posta tu anachonga kipya anabandika?
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…