Aliyetufikisha Uchumi wa Kati ni Kikwete na siyo Magufuli, acheni kudanganya!

The road less traveled – unleashing public private partnerships in Tanzania​

8TH TANZANIA ECONOMIC UPDATE, MAY 2016.
The Tanzanian economy has grown at an average annual rate of around 6-7 percent for more than a decade. The rate of inflation has declined since January 2016, although it trended upwards in the preceding few months due to increases in domestic food prices and the lagged impacts of the sharp depreciation of the Tanzanian Shilling during the first half of 2015. However, the Shilling stabilized in the second half of 2015, with the real exchange rate now close to the equilibrium level. The current account deficit has also improved, standing at around 8.7 percent of GDP in 2014/15. The level of aid inflows declined during 2014/15, although this was offset by increases in FDI and external non-concessional borrowing, maintaining the overall balance of payments in a stable position. Tanzania's infrastructure and social services deficits are already massive and projected to increase into the future. Traditional financing instruments are clearly insufficient to bridge the profound gap between existing public resources and financing requirements. By leveraging synergy between the public and private sectors, PPPs can mobilize additional sources of finance to fund the development of vitally needed infrastructure; to deliver on budget and on time to a greater extent than in the case of publicly financed projects; and to deliver higher quality services than in the case of publicly managed projects. Tanzania’s own policy documents identify PPP as a key instrument to attract new investment and to deliver infrastructure more efficiently.
 
Na mleta mada huyu huyu alikuwa anasema tz haijawahi kuwa uchumi wa kati
 
Fact
 
Kwani kuna mtu anabisha kwa hilo?
 
Mbona hukuongea kipindi mwenyewe yuko hai?
 
Ukitaka. kufanya analysis vizuri siku zote uwe objectively yaani chuki na mahaba binafsi uweke pembeni.

Kila rais anapoingia madarakani anakuta mipango iliyopangwa na aliyemtangulia , anaitekeleza hiyo na kuanzisha mingine mipya hivyo kinachofanikiwa wakati wa rais husika tunasema kimefanywa na rais huyo na sio aliyetangulia.

Unadai kuwa Jk alibakiza pointi sita tu lakini uelewe kuwa kinachozungumzwa ni per capita GNI ambayo inahusisha pia ongezeko la watu usichofahamu ni kuwa idadi ya watu mwaka 2015 sio ile ya mwaka 2019. hizo pointi 6 za mwaka 2015 sio zile zile za mwaka 2019.

Pili mipango ya kuupeleka nchi uchumi wa kati iliasisiwa na Mkapa mwaka 1999 kupitia TDV 2025 ( Dira ) ambapo iliwekwa kuwa kufikia mwaka huo Tanzania iwe ya uchumi wa kati. Hatua mbalimbali za kimkakati zilitayarishwa ambapo ilianzwa na kupunguza umasikini kama vile PRS, MKUKUTA I & II. institutional reforms nk . Baada ya kupunguza umasikini kwa kuwango kilichowekwa ndipo wakati wa Jk kwa kumtumia Dr Mpango ukaandaliwa long term perspective plan wa miaka 15 ambao uligawanywa katika vipindi vitatu vya miaka mitano mitano. mpango wa kwanza wa miaka 5 ulilenga kuifungua nchi kwa kuboresha miundombinu ya barabara, reli, bandari ( 2011/12 - 20115/16 ), mpango wa pili ulilenga zaidi kujenga viwanda ( 2016/17-2020/21). Mpango wa tatu ( 2021/22-2025/26) ulilenga export zaidi ya product za viwanda. Mipango yote hiyo ya maendeleo ilidizainiwa na Dr Mpango wakati wa JK akitumia dira ya Mkapa ya mwaka 2025. Hivyo utaona kila rais kati ya hawa watatu waliopita alikuwa na kipande chake alichotekeleza; huyu wa sasa naye atatekeleza mpango wa maendekeo wa tatu na wa mwisho katika mlolongo huo wa long term perspective plan.

Hivyo aliyeiingiza nchi uchumi wa kati ni JPM, Mkapa alidesign road map kuelekea uchumi wa kati na pia kujikita zaidi kupunguza umaskini na kujenga mifumo na JK alitengeneza long term perspective plan na kujenga zaidi miundombinu ( awamu ya 1) ingawa waziri aliyeijenga alikuwa JPM. JPM alishughulika na awamu ya 2 ya olan na awamu ya 3 ya plan itakamilishwa na SSH.

Hivyo kila rais alikuwa/ana role katika kusukuma maendeleo ya nchi.
 
Kwa uchumi wa kati aliyecheza karata vizuri ni JK na Mkapa yule mzee wa chemistry mchango na uelewa wake ni mdogo kwenye uchumi
 
Mwisho wa siku mtasema JPM Haujawahi kua Rais wa TZ.

Mbona mmahangaika hvyo wajukuu wa Msoga?
Nyinyi ni miongoni mwa awamu zilizokua za hovyo kuwahi tokea,hata mfagiaji wa ofisi tu aliiba na mafisadi na matapeli kama pappas MSOFE walijaa mtaani
Nakumbuka wakati ule madaktari wamegoma watu wanakufa muhimbili halafu JK anabembea na mama Salma kule Jamaica.
 
JPM kaweka rada nne nchi yote ipo chini ya uangalizi salama, hakuna tena zile ndege za wizi zilizokuwa zinachukua mawe ya dhahabu kila alhamisi pale bulyanhulu.

Alifanya mengi ya maana, usafiri maziwani umerudi.

Wanajaribu kumponda JPM lakini huko mikoani walipo wananchi wa kawaida huwaambii kitu wakakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…