Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Tena sana !! Nimesikia kwamba mpaka kule kuna vitengo maalum vya kuchafua watu !!Nchi hii tumekuwa na watu wa hovyo sana
Umaskini umetuletea chuki isiyo na sababu.Huyo mwakyembe ni nani mpaka azue taharuki kiasi hicho?
Hilo ZEE hata likifa ni sawa tu halina faida zaidi ya kutafuna TOZO ZETU.
Wamuachie huyo dogo. Waache kiherehere.
Kama hawana kazi waje watapishe choo changu hapa kimejaa.
Atathibitishasha hakumaanisha Harrison huyo pichaniMwakyembe ni ubini wa mtu mmoja tu Duniani?
Kataja jina kabisaAtathibitishasha hakumaanisha Harrison huyo pichani
Ifahamike hawa madogo mitandaoni ndio zao,kichwa cha habari kinakushawishi,ukifungua ni utopolo tupu,pengine iwe lesson kwa wenye hizo tabia hasa YouTube imetawala haya maujinga
Ingia youtube usome na kusikiliza kuna picha ya muhusika pia acha kukurupukaMwakyembe ni ubini wa mtu mmoja tu Duniani?
TIGHA BHAKANG'ORIBHWITIGHA BHATEMWE
Taarifa za kutafutia viewers😅😅Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Tazarn Alfan Mwambengo (27), mkazi wa Ukonga, ambae anatuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu kifo cha Dkt. Harrison Mwakyembe kupitia chaneli ya televisheni ya mtandaoni jambo ambalo si la kweli.
Katika chaneli hiyo ya mtandao mtuhumiwa huyo aliandika, “BREAKING NEWS HUZUNI YATANDA MAZISHI YA MWAKYEMBE” taarifa ambazo ziliibua taharuki kubwa kwa wananchi hasa kwa Dkt. Mwakyembe mwenyewe na familia yake.
Kuna kesi zingine hata ufanyeje huwezi shinda, maana Matokeo tayari yameshapangwa hata kabla kesi yenyewe haija aanza kusikilizwa!!Kwani mwakiyembe s ukoo tu au Dr yeye kajimilikisha Pekee ake
Hiyo kesi nikipewa nashinda kbl bas hazijafika bagamoyo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watanzania ni wapumbavu sana. Yaan mtu ametaja kabisa Harrison Mwakyembe bado unataka kusema hakumaanisha yy. Hali hiyo mpate maendeleo kwa mawazo hayo ya makalioni.??Kwani mwakiyembe s ukoo tu au Dr yeye kajimilikisha Pekee ake
Hiyo kesi nikipewa nashinda kbl bas hazijafika bagamoyo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Siasa zimezalisha kizazi cha ovyo, kizazi kinachopinga kila taarifa za wasio ktk mlengo wao kwa nia ya kudharirisha. Kimezaliwa kizazi ambacho hakioni madhara ya uharifu na waharifu kitawatetea. Uharifu sasa ni ule tu utakaowagusa wao kwa wengine ni uzembe au makosa yao. Sasa hivi Panya road, Wazushi, Majambazi kwa jina la Demokrasia na haki za binadamu wana haki ya kufanya kazi zao. Tuombe 🧎♂️🧎♂️Nchi hii tumekuwa na watu wa hovyo sana
Wana heading za kingese sana, mi huwa sifungui vichanel vyaoHawa online Chanel ni wapuuzi sana
Wewe ni mke wa mwakyembeh?Umaskini umetuletea chuki isiyo na sababu.
Mwakyembe ni raia kama wewe tozo anakulaje?
Afe amekukosea nini?
Wewe unayemtakia kufa una faida gani?
Ukimtakia mwenzio kufa usishangae ukamtangulia kutoa hesabu.
Tusitakiane kufa.
Tutakiane kubadilika yaani kuacha mabaya
Haswaa... wanaweka hadi picha halafu mjinga aje kutetea wapuuziHao madogo wa YouTube huwa niwa pumbavu sana,usikute yeye aliandika kabisa Harrison Mwakyembe na kibaya zaidi ukute alitumia hadi picha zake