Aliyetumia Silent Ocean - naomba msaada wa ufafanuzi

Ahsanteni sana wadau kwa mchango wenu wa ufafanuzi na uzoefu wenu, nilifanikiwa kusafirisha mzigo wangu wa kwanza kutoka china kwa kuwatumia hao Silent Ocean na hilo lilifanikiwa kutokana na uzoefu ambao mlinishirikisha hapa, na sasa najiona kuwa mfanyabiashara anaye yaelekea mafanikio kwa kuwa nimeanza kufanya hivyo kwa kila bidhaa ambazo wateja wangu wanahitaji.

Mungu awabariki sana
 
Chief naomba uzoefu wako ikiwezekana contact zako
 
silent ocean wanasafirisha vifaa vya electronic kama Laptop/dektop, camera etc??
 
Ulichajiwa kiasi gani kwa CBM....
Mzigo kufika ulichukua muda gani?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hawa jamaa nawahitaji ila hawqjib email
 
Mbona hyo ALIBABA shipping fee ake n kubwa kuliko bidhaa, uliwezaje kuagiza kupitia wao??
 
Mbona hyo ALIBABA shipping fee ake n kubwa kuliko bidhaa, uliwezaje kuagiza kupitia wao??
chat na supplier mpe address ya silent Ocean mwambie apeleke mzigo huko, bei ya usafiri itakuwa dogo kuliko hiyo iliyopo kwenye web/app ya alibaba
 
chat na supplier mpe address ya silent Ocean mwambie apeleke mzigo huko, bei ya usafiri itakuwa dogo kuliko hiyo iliyopo kwenye web/app ya alibaba
Nisaidie na mm hapa

Kuna kitu nataka Ni Dola kidogo tu Ila usafiri Ni Bei Bora AliExpress Kuna Kampuni za usafirishaji Ni Bei Chee zaidi na zinakuja na ndege mwezi mmoja tu au pungufu mzigo unakufikia
 
Nisaidie hapa
 
Nisaidie namna ya kuagiza na silent ocean maana alibaba njia zako si haba
Mwambie seller kama una shipper wako yupo China hivyo amtumie. Omba picha ya business card yao S.O then mtumie seller wako awatumie mzigo wako kwa S.O utaghalamia from seller to S.O atakupa na tracking number so ukiona umewafikia utawapigia S.O wataconfirm na kukupa charges zake za kuja Bongo. Utawalipa ukifika Bongo.
 
Unao chukua nafasi ndogo kuliko hiyo cbm inakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…