- Thread starter
- #61
Kama supplier ana muda mrefu na hayuko verified, mimi huwa naangalia comments ambazo amepata kutoka kwa wateja wengine, lakini pia naangalia value za transaction ambazo amefanya hadi sasa, na respond time. Then nafanya maamuzi. Nikiona hivyo vigezo vipo reasonable nanunua kwake.Kuna supplier wengine wako na miaka 11 wanafanya kazi Ila hawako verified vipi hawawezi kuwa matapeli??