kama mzigo wako uko na size chini ya cbm, utazidisha size ya mzigo na 400$ ambayo ndio gharama ya usafiri kwa CBM, the utapata bei ya kusafirisha mzigo wako.Unao chukua nafasi ndogo kuliko hiyo cbm inakuaje
Vizuri sana ipo pouwa!kama mzigo wako uko na size chini ya cbm, utazidisha size ya mzigo na 400$ ambayo ndio gharama ya usafiri kwa CBM, the utapata bei ya kusafirisha mzigo wako.
Mfano mzigo wako una 0.3CBM itakuwa 0.3*400$ = 120$, kwa hiyo 120$ ndiyo itakuwa gharama ya usafiri.
Hawahusiki na kukununulia mizigo, ila Alibaba ni sehemu salama kununua mizigo kwa China, kikubwa angalia profile ya supplier wako, soma comments za wateja wengine (kuwa makini pia kuna scammers comments pia), soma specifications za bidhaa unayotaka kununua (picha hudanganya sana ikiwezekana mwambie akutumie video ya bidhaa uione), kama unachukua mzigo mkubwa ni bora ukanunua sample kidogo akutumie ili kuangalia ubora wa bidhaa kabla hujanunua mzigo mkubwa (njia hii imenisaidia sana). Baada ya hapo chat na supplier wako akutengenezee order ya product unayotaka na unampa addrress ya silent ocean, then fanya malipo kwa Alibaba, usilipie nje ya alibaba kwa usalama.Vizuri sana ipo pouwa!
Kingine hawa jamaa hawausiki na kukunulia mzigo au kumkutanusha na seller kama security ya malipo unayotaka kufanya!!?
Yaani! Wao wapo china na tz! Mimi nimeona kitu kwa seller china kupitia alibaba au aliexpress au made in china, labda kina gharimu zaidi ya millioni moja, hivyo namuunganisha seller na wao ili wakamilishe deal as security kuliko kuituma pesa moja kwa moja kwa mchina huku sina uhakika na atakacho nitumia au asitume kabisa!!?
Sawa , utajuaje Kama unalipia kwa Alibaba, maana anakupa Kama link then una press kununua inakuja kulipa kwa Visa card nkHawahusiki na kukununulia mizigo, ila Alibaba ni sehemu salama kununua mizigo kwa China, kikubwa angalia profile ya supplier wako, soma comments za wateja wengine (kuwa makini pia kuna scammers comments pia), soma specifications za bidhaa unayotaka kununua (picha hudanganya sana ikiwezekana mwambie akutumie video ya bidhaa uione), kama unachukua mzigo mkubwa ni bora ukanunua sample kidogo akutumie ili kuangalia ubora wa bidhaa kabla hujanunua mzigo mkubwa (njia hii imenisaidia sana). Baada ya hapo chat na supplier wako akutengenezee order ya product unayotaka na unampa addrress ya silent ocean, then fanya malipo kwa Alibaba, usilipie nje ya alibaba kwa usalama.
Binafsi transaction zangu za alibaba si nyingi sana ila zimevuka 10M kwa sasa, na sijawahi kupata changamoto yoyote kwa kuzingatia hizo tips ambazo nimekupa.
usifungue link ambayo anakuwa amekutumia kwenye chat ya alibaba, nenda kwenye Order kisha utaona link kwenye unpaid order.Sawa , utajuaje Kama unalipia kwa Alibaba, maana anakupa Kama link then una press kununua inakuja kulipa kwa Visa card nk
[emoji38][emoji38][emoji38] binadamu! Umetoka kwamwambia mtu huko akaulize google! Ila wewe unauliza jf [emoji3]Ukiagiza simu Moja smart phone kwa Silent ocean inaweza gharimu bei Gani?
Dunia duara [emoji28][emoji38][emoji38][emoji38] binadamu! Umetoka kwamwambia mtu huko akaulize google! Ila wewe unauliza jf [emoji3]
HakikaDunia duara [emoji28]
Watu mna kumbukumbu sanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38] binadamu! Umetoka kwamwambia mtu huko akaulize google! Ila wewe unauliza jf [emoji3]
Huna baya mkuu nitakutafuta unieleweshe vizuri hapa [emoji120]usifungue link ambayo anakuwa amekutumia kwenye chat ya alibaba, nenda kwenye Order kisha utaona link kwenye unpaid order.
Ok, karibuHuna baya mkuu nitakutafuta unieleweshe vizuri hapa [emoji120]
Mm Naomba uzoefu kwenye mzigo wa laki Moja usafiri ilikugharimu kias gn na pia utajuaje km muuzaji ni mwaminifu na wakat kwenye comment section hata yy anaweza kuforgeOk, karibu
Bei ya usafiri haitokani na bei ya mzigo, kwenye meli mizigo inapimwa kwa CBM, inaweza kuwa ni mzigo wa laki ila umechukua nafasi kubwa. Mfani bei ya kusafirisha meza ya laki moja ni kubwa kuliko bei ya kusafirisha simu ya laki tano. So ni muhimu kusoma descriptions za bidhaa vizuri kujua dimensions zake au mwulize supplier wako mzigo wako una cbm ngapi ili ujue mapema kiasi cha gharama ambayo utalipa kwenye usafiri.Mm Naomba uzoefu kwenye mzigo wa laki Moja usafiri ilikugharimu kias gn na pia utajuaje km muuzaji ni mwaminifu na wakat kwenye comment section hata yy anaweza kuforge
Mfano umenunua t shirt labda PC 5 utakua unapimwa vipi kwa iyo cbm??Cubic meters, watapima ujazo (H x W x L) wa mzigo wako in meters.
Itategemea na package km zipo kwenye box. Watachukua height x lengh x widthMfano umenunua t shirt labda PC 5 utakua unapimwa vipi kwa iyo cbm??
Kuna supplier wengine wako na miaka 11 wanafanya kazi Ila hawako verified vipi hawawezi kuwa matapeli??Bei ya usafiri haitokani na bei ya mzigo, kwenye meli mizigo inapimwa kwa CBM, inaweza kuwa ni mzigo wa laki ila umechukua nafasi kubwa. Mfani bei ya kusafirisha meza ya laki moja ni kubwa kuliko bei ya kusafirisha simu ya laki tano. So ni muhimu kusoma descriptions za bidhaa vizuri kujua dimensions zake au mwulize supplier wako mzigo wako una cbm ngapi ili ujue mapema kiasi cha gharama ambayo utalipa kwenye usafiri.
Unapofanya review ya comments ni muhimu uangalie pia ambao wame_comment wanatoka nchi gani na utofauti wa user id zao. Kuna baadhi utagundua location ya waliocomment ni moja na user id zinafanana, so kuwa makini nao utapigwa.