Aliyeua Mke apatikana Muleba alikokwenda kujificha, akutwa katika harakati za kujiua

Kaua

Kakikmbia

Kaishi kama digidigi

Kakamatwa

Ataozea jela

Atapoteza kila kitu

Hapo sasa nani ana mawazo ya kiupupu

Ova
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Msaidie japo kumtembelea gerezani
 
Aone uzuri wa alikompeleka mkewe
 
Hivi viumbe ndo maana Mungu ametuambia tuishi navyo kwa akili.
nikiri siku moja nilitaka kuua mtoto wa mtu.
Siku moja aliniambia niende kwa mdogo wake jioni ilipofika usiku nikaenda nikampigia nikamwambia nipo nje.akasema anakuja bwana wee.lisaa lizima mtu hatoki nikampigia simu kwani upo wapi akaniambia ametoka amemsindikiza Dada yao alikuja nikamwambia mbona haujaniambia akasema alijua atarudi mapema.nikamsubiri mpaka saa 4 usiku.
Kiukweli nilishikwa na hasiraaa nilitamani nimbamize kichwa ukutani nimpasue lakini nikawaza naweza nikaua alafu nikaja kuishia JELA.nikajituliza Ila Hawa viumbe wanakera Sana.
Mbaya zaidi hapo nimetoka kupotezwa kibarua changu .kazi Sina mwanamke analeta Mambo ya ajabu.unaweza ukawa chizi.nikaamua kwenda nae anavyotaka yeye anitafute sawa asinitafute sawa.mpaka akachoka tukaachana
Si mzoefu wa kuua!!?? Au uzoefu wa nini??
 
Mnamuokoa kujiua halafu mnamshtaki na akipatikana na hatia anahukumiwa anyongwe hadi kufa.
 
Sasa na wewe mtu anakusubirisha muda wote huo upo tu?
 
Huyo alikua hajiui alikua anatania tu. Maana angeshajiua siku nyingi asingeenda hadi huko mbali afu asubiri hadi waje wamkamate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…