Aliyeua Mke apatikana Muleba alikokwenda kujificha, akutwa katika harakati za kujiua

Watakuvuruga hadi ufe mwenyewe na sio ya kuua kama huyu jamaa yetu
Inategemea na aina ya wanawake my dear mama D! Ona Mzee Mwinyi mpaka leo anadunda tu! Angekuwa na mke mmoja kama mtangulizi wake Nyerere, muda huu na yeye angekuwa ni mifupa tu.
 
Watakuvuruga hadi ufe mwenyewe na sio ya kuua kama huyu jamaa yetu
Mwanamke hawezi kunivuruga aise

Formula yangu inajulikana

Hakuna maelewano kila mtu achukue 50 zake

Ova
 
Umeongea vizuri Sana mama D, cha msingi hapa nikumshirikisha Mungu maana hatuwezi peke yetu bila yeye, tunasema hofu ya Mungu huleta matunda mazuri tukubaliane kama mnaenda wote kanisani, mnasali kifamilia kwq pamoja, mnashirikishana kila jambo, mkikwama mnamuita Mungu sidhani kama ndoa itakua chungu, pia kila mmoja wetu katika ndoa tutambue majukumu yetu na kutambua wewe ni nani kwa mwenza wako, pia muwe na baba wa kiroho ambae anaweza kuwasaidia kuwatatulia mambo yenu pale yanapoenda vibaya, ndoa inapingwa sana na shetani msiposimama imara mtasumbuliwa sana ni hayo tu
 
Inamaana ndoa nyingi za wanawake ma DED, RAS, DAS, WAKUU WA MIKOA, WAKUU WA WILAYA, WATENDAJI WA KATA zinamigogoro?
Niliwasahau kina dada Joy, Dada Doro n.k
Tambua vyanzo vingi vya migogoro ni hilo, ukiangalia kwa umakini unakuta wengi ya wanawake walio kwenye vyeo vikubwa unakuta hajaolewa au kaolewa lakini ndoa yake inapitia changamoto
 
Sio hawa wa Siku hizo kaka! Wanatoa tu hakuna Noma wa Kesi!!
 
Sio hawa wa Siku hizo kaka! Wanatoa tu hakuna Noma wa Kesi!!
Sijawahi kuomba au kupelekwa Dodoma ambako nasikia Sasa ndio makao makuu. Na sijui Kama Kuna utamu Kama huku Dar es Salaam. Sijui nitaanzaje kuomba kwenda Dodoma kutalii japo Mara moja na kuona soko la ndugai.
 
Huyu jamaa ni mpuuzi sana.
 
Inamaana ndoa nyingi za wanawake ma DED, RAS, DAS, WAKUU WA MIKOA, WAKUU WA WILAYA, WATENDAJI WA KATA zinamigogoro?
Niliwasahau kina dada Joy, Dada Doro n.k
Lazma yani demu atakaaa atakuvumilia atakupa kila kitu ka hamjaoana au hamuishi wote na gesti atalipa umgonge ila bwana weee jiandae kuna siku na siku lazma uvuliwe nguo kwa mineno ya shombo yn mkizinguana tu anakukumbusha kuwa huna kitu na ukweli unavouma sasa usipoangalia lazma umtie kofi...
 
Daaah mzee wangu sana alikua ananipigia story nyingi za maisha kuhusu kufanya biashara ndogondogo nisione aibu daah ntakumiss sana na mama mzava mama wa don't give up my son nakumbuka haya maneno naumia sana.
 
Nakuunga mkono, fanya ufanyavyo mrudiane sababu ya watoto. Hata akiwa mchepuko ila do something for kids sake
 
Inategemea na aina ya wanawake my dear mama D! Ona Mzee Mwinyi mpaka leo anadunda tu! Angekuwa na mke mmoja kama mtangulizi wake Nyerere, muda huu na yeye angekuwa ni mifupa tu.

Kusema ukiwa na wake wengi unaishi sana umeniongopea kabisaa Tate Mkuu. Unajiandalia mazingira eeeh
Kwani Desmond Tutu yeye alikua na wake wangapi?
Nina babu yangu ana 99 na amekua na mke mmoja maisha yake yote
 


😍📍🔨
 
Akipata lawyer mzuri atapata kesi ya man slaughter lakini anavyokimbia ndiyo anazidi kujiwekea ugumu wa maisha.
Man slaughter haiji tu ina mazingira yake kwahiyo lawyer sio ishu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…