Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
L
Picha ya muuaji?
Picha ya muuaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia huko juu ipoMwenye picha ya muuaji atuwekee
Mwanamke hawezi kunivuruga aiseWatakuvuruga hadi ufe mwenyewe na sio ya kuua kama huyu jamaa yetu
Umeongea vizuri Sana mama D, cha msingi hapa nikumshirikisha Mungu maana hatuwezi peke yetu bila yeye, tunasema hofu ya Mungu huleta matunda mazuri tukubaliane kama mnaenda wote kanisani, mnasali kifamilia kwq pamoja, mnashirikishana kila jambo, mkikwama mnamuita Mungu sidhani kama ndoa itakua chungu, pia kila mmoja wetu katika ndoa tutambue majukumu yetu na kutambua wewe ni nani kwa mwenza wako, pia muwe na baba wa kiroho ambae anaweza kuwasaidia kuwatatulia mambo yenu pale yanapoenda vibaya, ndoa inapingwa sana na shetani msiposimama imara mtasumbuliwa sana ni hayo tuMisingi ya ndoa imeharibika. Wewe waweza ingia kwenye mahusiano sababu ya upendo na uhitaji wa kupata msaidizi, lakini yeye akawa ameingia kwenye mahusiano na pesa zako au mwili wako.
Baada ya muda mambo yakibadilika anakinai mwili wako, anapata pesa zingine sasa zile zako hazionekani tena inaingia chuki ndani ya moyo na mambo yanakua si mambo
Mungu atusaidie turudi kwenye mpango wake ili
Kila Mume Na AMPENDE mke wake
Kila mke na AMTII mume wake
WAEFESO 5: 22-30
Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu. Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili.
Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo.
Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa.
Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe. Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. Kwa kuwa u viungo vya mwili wake.
1WAKORIONTO 7: 1-5
"Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe. Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe; na hali kadhalika mke kwa mumewe. Kwa maana mke hatawali mwili wake mwenyewe, bali mume wake ndiye autawalaye. Vivyo hivyo, mume hatawali mwili wake mwenyewe, bali mkewe ndiye anayeutawala."
MUNGU ATUSAIDIE
Tambua vyanzo vingi vya migogoro ni hilo, ukiangalia kwa umakini unakuta wengi ya wanawake walio kwenye vyeo vikubwa unakuta hajaolewa au kaolewa lakini ndoa yake inapitia changamotoInamaana ndoa nyingi za wanawake ma DED, RAS, DAS, WAKUU WA MIKOA, WAKUU WA WILAYA, WATENDAJI WA KATA zinamigogoro?
Niliwasahau kina dada Joy, Dada Doro n.k
Sio hawa wa Siku hizo kaka! Wanatoa tu hakuna Noma wa Kesi!!Kaka green rajab usichukue ushauri wa watu Kama mrangi .
Usije ukamjaribisha mnyakyusa wa ndaani ndani huko Tukuyu au manka aliyelelewa kidini Kama jicho linaona, kesi hiyo itafika mpaka kwa mama mkwe halafu uwe umetokea kwenye kabila lenye wachawi Kama watu wa Njombe, utamkosa huyo mke.
Sijawahi kuomba au kupelekwa Dodoma ambako nasikia Sasa ndio makao makuu. Na sijui Kama Kuna utamu Kama huku Dar es Salaam. Sijui nitaanzaje kuomba kwenda Dodoma kutalii japo Mara moja na kuona soko la ndugai.Sio hawa wa Siku hizo kaka! Wanatoa tu hakuna Noma wa Kesi!!
Wanawake wote 99% Kama hauna kazi au kibarua kukuvumilia NI majaaliwa ya Mungu.
Mwanamke Ana badilika vibayaaa
Huyu jamaa ni mpuuzi sana.Wana JF
Habari za kuaminika kutoka Muleba ni kwamba, mme wa Irene Mzava amepatikana akiwa hoi katika jaribio la kutaka kujua jana kwa rafiki yake ambaye alienda kujificha lakini ikashindikana baada ya watu kutoa taarifa kuwepo kwake eneo hilo.
Aliona wakinyatia, akafunga milango, akatafuta waya wa umeme extension cable, akajininginiza kwenye feni kwa lengo la kujitoa roho, watu wakawa wanangongea afungue yeye akawa anapambana kujiua ndipo wakamuwahi akiwa hoi, wakampeleka katika hospitali ya Kaigara,wakapima vipimo vyote akaonekana yupo sawa, wakamweka pingu, sasa yupo njiani akiletwa dar kujibu tuhuma za mauaji.
R.I.P Ireni hakika damu yako mzito, jamaa kakamatwa kabla ujazikwa.
Pia soma > Mama wa TRA akutwa amefariki Bunju Beach, mume wake naye amepotea
Lazma yani demu atakaaa atakuvumilia atakupa kila kitu ka hamjaoana au hamuishi wote na gesti atalipa umgonge ila bwana weee jiandae kuna siku na siku lazma uvuliwe nguo kwa mineno ya shombo yn mkizinguana tu anakukumbusha kuwa huna kitu na ukweli unavouma sasa usipoangalia lazma umtie kofi...Inamaana ndoa nyingi za wanawake ma DED, RAS, DAS, WAKUU WA MIKOA, WAKUU WA WILAYA, WATENDAJI WA KATA zinamigogoro?
Niliwasahau kina dada Joy, Dada Doro n.k
Una uzoefu🙄Sio mzoefu.. Damu ya mtu hunuka vibaya sana
Nakuunga mkono, fanya ufanyavyo mrudiane sababu ya watoto. Hata akiwa mchepuko ila do something for kids sakeSawa tu muhimu niwe karibu na wanangu yeye hata akiolewa kwenye nyumba niliyompangia hainihusu
Maana nafanya hivi sababu nahitaji kuwa karibu na watoto tu, najua watoto wakiona siku moja moja nalala home na mama yao watajua baba yao nipo na nikiondoka watajua nimesafiri
Kuliko sa hv mtoto mkubwa wa kiume mwenye miaka mitano amekua akimsumbua mama yake, anamwambia, "Mama namtaka Baba yangu anayenileteaga zawadi". ( hapo alinihadisia tulipokua tunapumzika ) maana nilikua kila ninapotembelea familia yangu nilikua nanunua nguo na vitu vya kuchezea nawapelekea
Baadae nikakata mguu nikawa namtumia matumizi tu, sasa watoto ndo wakaanza kuniulizia kwa mama yao
Hivyo yeye kupigwa hainihusu wala haitaniumiza ninachoangalia ni watoto tu
Inategemea na aina ya wanawake my dear mama D! Ona Mzee Mwinyi mpaka leo anadunda tu! Angekuwa na mke mmoja kama mtangulizi wake Nyerere, muda huu na yeye angekuwa ni mifupa tu.
Umeongea vizuri Sana mama D, cha msingi hapa nikumshirikisha Mungu maana hatuwezi peke yetu bila yeye, tunasema hofu ya Mungu huleta matunda mazuri tukubaliane kama mnaenda wote kanisani, mnasali kifamilia kwq pamoja, mnashirikishana kila jambo, mkikwama mnamuita Mungu sidhani kama ndoa itakua chungu, pia kila mmoja wetu katika ndoa tutambue majukumu yetu na kutambua wewe ni nani kwa mwenza wako, pia muwe na baba wa kiroho ambae anaweza kuwasaidia kuwatatulia mambo yenu pale yanapoenda vibaya, ndoa inapingwa sana na shetani msiposimama imara mtasumbuliwa sana ni hayo tu
Man slaughter haiji tu ina mazingira yake kwahiyo lawyer sio ishu sanaAkipata lawyer mzuri atapata kesi ya man slaughter lakini anavyokimbia ndiyo anazidi kujiwekea ugumu wa maisha.
Ulikuwa unaishi kwake mkuu?Wewe ungeenda wapi?