hivi unajua kuwa adhabu ya manslaughter ni life imprisonment? huko kupunguziwa adhabu huwa ni kutokana na mitigation factors tu lakini ukiona kitu kimenyoka na hauna sababu ya kumitigate adhabu yake ni life imprisonment. kwa murder adhabu ni moja tu hata mitigation haihitajiki, kunyongwa hadi kufa. pia kwenye manslaughter sometimes mtu anaweza asipate jail sentence akapewa conditional discharge kabisa. kule kukaa jela labda wakati akiwa mahabusu, ila kama ni baada ya sentence its not always. you can either get life imprisonment, few years au conditional discharge.