Aliyeua wenzake akiwa amepandisha mapepo, anakosa kisheria?

Aliyeua wenzake akiwa amepandisha mapepo, anakosa kisheria?

MURDER vs MANSLAUGHTER, zote unaenda ndani ila jail time ya manslaughter ni ndogo kulinganisha na murder! murder ni kuua kwa kukusudia yaani ulijipanga kabisa kuwa unaenda kuua na manslaughter ni kuua kwa 'bahati mbaya'!!
hii ya hapo juu nafikiri ni MANSLAUGHTER, ila pia wataangalia circumstances zilizosababisha yeye kuwaua! kama alikuwaga na bifu na mmoja wapo basi wataweza ichukulia kama murder kama wataridhika na ushahidi.
hivi unajua kuwa adhabu ya manslaughter ni life imprisonment? huko kupunguziwa adhabu huwa ni kutokana na mitigation factors tu lakini ukiona kitu kimenyoka na hauna sababu ya kumitigate adhabu yake ni life imprisonment. kwa murder adhabu ni moja tu hata mitigation haihitajiki, kunyongwa hadi kufa. pia kwenye manslaughter sometimes mtu anaweza asipate jail sentence akapewa conditional discharge kabisa. kule kukaa jela labda wakati akiwa mahabusu, ila kama ni baada ya sentence its not always. you can either get life imprisonment, few years au conditional discharge.
 
Swari LA kizushiii mapepo yamerud kwao na kapimwa kakutwa Hana kichaa, hapo ci atakuwa involved???

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
kuna vichaa vya kipindi pia huzingatiwa na sheria. kinachoangaliwa ni je? wakati ule alipofanya mauaji (and only that moment) alikuwa katika hali gani, conduct yake ilikuwaje, je mtu mwenye akili ya kawaida anaweza kufanya alichofanya etc its all to do with available evidence/witnesses. kama wakati ule anafanya kitendo akili haikuwa sawa hata kama ni kwa muda mfupi basi atahukumiwa kulingana na hali aliyokuwa nayo wakati ule anafanya kosa. ila jua, msingi wa crimial case ni kwamba mtu anatakiwa kuhukumiwa kwa kosa alilotenda huku akijua na akiwa na akili timamu kuelewa anachokifanya...(mens rea) nje ya hapo, yanakua makosa mengine mbadala tu yanayoweza kumpa adhabu ndogo au kuachiwa, na adhabu hizo ndogo nafikiri zimewekwa ili watu wajiepushe kuwa katika mazingira yanayoweza kuwafanya wakafanya mambo bila kutarajia (bahati mbaya) etc. lakini kiuhalisia walitakiwa kuachiwa kabisa kama hawakuwa na mens rea.
 
hivi unajua kuwa adhabu ya manslaughter ni life imprisonment? huko kupunguziwa adhabu huwa ni kutokana na mitigation factors tu lakini ukiona kitu kimenyoka na hauna sababu ya kumitigate adhabu yake ni life imprisonment. kwa murder adhabu ni moja tu hata mitigation haihitajiki, kunyongwa hadi kufa. pia kwenye manslaughter sometimes mtu anaweza asipate jail sentence akapewa conditional discharge kabisa. kule kukaa jela labda wakati akiwa mahabusu, ila kama ni baada ya sentence its not always. you can either get life imprisonment, few years au conditional discharge.
yaonekana uko upande wa sharia, ebu nisaidie endapo mtu ataua mtu mwingine aliyemshambulia, yaani ktk self defense akamuua, inakuaje??
 
Jamani leaned brothers. Hebu angalieni swali" aliyeua wenzake akiwa amepandisha mapepo ,anakosa kisheria?
Msingi wa kesi" Analo kosa'?
NDIO

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hili swali nampa lecture wa Tumaini iringa awape 1st year kwenye supplementary.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
yaonekana uko upande wa sharia, ebu nisaidie endapo mtu ataua mtu mwingine aliyemshambulia, yaani ktk self defense akamuua, inakuaje??
Self defence ni moja wapo ya defence katika criminal liabilities lakn inategemea umedefence vip?????

Mfano mwenzako anakisu anataka kushambulia halafu wewe ukachukua gobole ukampiga na gobole akafa halafu unasema self defence kaka jela inakuhusu,,,,, soma kifungu cha 18, 18a, 18bna 18c of PC CAP 16

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaonekana uko upande wa sharia, ebu nisaidie endapo mtu ataua mtu mwingine aliyemshambulia, yaani ktk self defense akamuua, inakuaje??
barafuyamoto self defence inaweza kuwa pleaded lakini ni lazima defence yako iwe reasonable au ya kadri kulingana na namna yule mvamizi wako alivyokuja huwezi sema ulivamiwa na mtu kashika fimbo tu na hata kwa kumwangalia tu labda hata wewe ungeweza kumdibiti bila kutumia nguvu za kupita kiasi il we ukachukua bastola na kummaliza,kwa scenario kama hii jipange kivingine na sio utetezi wa self defence.
 
yaonekana uko upande wa sharia, ebu nisaidie endapo mtu ataua mtu mwingine aliyemshambulia, yaani ktk self defense akamuua, inakuaje??
Mkuu iyo ipo wazi. sijui facts vizuri kila kesi huwa inaamuliwa kutokana na mazingira yake and its just a matter of evidence. lakini swali lako lipo section 18, 18A, 18B and 18C of the Penal Code [cap.16 R.E 2002].
 
Back
Top Bottom