kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka.
Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.
Kama tuliona Masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nini? Aliyempa tenda Masanja anafanya nini Ofisini?