Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Aliyewaandaa Masanja na Nyerere kwenda kuzungumza Mbele ya viongozi wa Mataifa mbalimbali awajibishwe

Sherehe zijazo tunamleta huyu😁😁😁CCM tupo vizuri
AIsuRG.jpg
 
Yaani jamaa very bogus tena akawananga wanajeshi wa tz eti wapowapo tu hawana kazi kwa hiyo rais amuombe kagame awachukue akawape kazi wanajeshi wa tanzania
Halafu akamleta jamaa yake akamuiga nyerere akaboronga hadi akaambiwa inatosha.
Eti majaliwa kijana wa nyerere wapi na wapi huyu samia mwenyewe hata nyerere alikuwa hamtambui
Nyie akina shaka achaneni na Huyo masanja anaropokaropoka tu upumbavu
Yaani jamaa very bogus tena akawananga wanajeshi wa tz eti wapowapo tu hawana kazi kwa hiyo rais amuombe kagame awachukue akawape kazi wanajeshi wa tanzania... Maneno haya anayapata baada kupata uhuru kunya mavi mengi bila kusikia milio ya risasi au kusikia mama ake kachinjwa na waasi
 
Siyo akawape kazi, alisema nanukuu

"Ikiwezekana mkuu wa majeshi amuombe Kagame pambano la kirafiki"

Mwisho wa kunukuu, asante kwa kunisikiliza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yaani jamaa
Yaani jamaa very bogus tena akawananga wanaj,tz eti wapowapo tu hawana kazi kwa hiyo rais amuombe kagame awachukue akawape kazi wanajeshi wa tanzania... Maneno haya anayapata baada kupata uhuru kunya mavi mengi bila kusikia milio ya risasi au kusikia mama ake kachinjwa na waasi

Mbona milio ya risasi kwenye nchi hii mingi tu au wewe unafikiria risasi inasikika wakati wa kupigania uhuru tu?
una akili fupi sana za kisisiem,
Mwandishi wa habari mwangosi aliuliwa kwa nini?
Ben saa nane amepotea vipi?
Mawazo aliuliwaje?
Lisu alishambuliwaje na risasi?

Wewe jamaa hata hujielewi kumaa lako
 
Katika hafla kubwa ya Kitaifa kama iliyofanyika Le ambayo camera za mataifa Mbalimbali zinaelekezwa Kwetu tumeshindwaje kuleta watu wenye akili wanaoweza kuitangaza nchi tunaleta watu Wanafoka na kuongea vitu visivyoeleweka. Mtu huyu anaongea as if yupo kwenye mkutano wa Kijiji. Bora tungewapa Maliasili hizo dakokika watuonyeshe rasilimali zetu za kitalii.

Kama tuliona masanja ana umuhimu tulishindwa kumuuliza anakwenda kusema nn? Aliyempa tenda masanJa anafanya nn Ofisini?
Hao watendaji wenyewe ndo type za kina masanja na Steve nyerere Kuna kitu hapo tena..
 
Yaani jamaa

Mbona milio ya risasi kwenye nchi hii mingi tu au wewe unafikiria risasi inasikika wakati wa kupigania uhuru tu?
una akili fupi sana za kisisiem,
Mwandishi wa habari mwangosi aliuliwa kwa nini?
Ben saa nane amepotea vipi?
Mawazo aliuliwaje?
Lisu alishambuliwaje na risasi?

Wewe jamaa hata hujielewi kumaa lako
Hahaha kenge wewe uliyetolewa marinda Gaidi Mbowe
 
Tatzo ni mifumo na vetting mbovu, Siyo kila sherehe lazima wajinga wawepo ili kuongea ujinga wao, mambo ya kitaifa na hasa ukiwa na wageni kutoka nchi jirani lazima ujue unaongea nini na kipi unyamaze nacho. Tatzo thinking tank ya nchi hii wengi ni bogus, wanafiki na kufanya vitu kimazoea lakini pia hawajifunzi wapi wanakosea, sehemu kama ile watu wasio na uelewa mpana wa mambo ya dunia siyo hata wa kupewa nafasi ya kusema ujinga wao
 
Hahaha Yaani watu naona mmechafuuukwa kwelikweli... Kwani nyie hamjui kazi ya masanja. Kazi ya masanja hapo ilikua niku-entertain tu. Kwahiyo hakua serious na alichokua anaongea. Na ndicho alichoitiwa kufanya. Sasa mnashaangaa nini ? Kama mnataka vya maana rais wenu si alitoa hutuba ? Au nayo ilikuaje ?
 
Tatzo ni mifumo na vetting mbovu, Siyo kila sherehe lazima wajinga wawepo ili kuongea ujinga wao, mambo ya kitaifa na hasa ukiwa na wageni kutoka nchi jirani lazima ujue unaongea nini na kipi unyamaze nacho. Tatzo thinking tank ya nchi hii wengi ni bogus, wanafiki na kufanya vitu kimazoea lakini pia hawajifunzi wapi wanakosea, sehemu kama ile watu wasio na uelewa mpana wa mambo ya dunia siyo hata wa kupewa nafasi ya kusema ujinga wao
Punguza jazba baba . Utapata presha bure tukuzike Kabla ya wakati wako. Hao majamaa hapo waliitwa hapo kama entertainers.
 
Back
Top Bottom